Msaada: Natafuta nyumba iliyojificha

Msaada: Natafuta nyumba iliyojificha

lokiyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,953
Reaction score
879
​😛eep: WAKUU HABARINI...NATAFUTA NYUMBA ILIYOJIFICHA MAENEO YA MIKOCHENI B,NYUMA YA TANESCO MIKOCHENI,MBEZI BEACH,,,NATAKA NIFUNGUE BIASHARA YA MASSAGE HIVYO NDO MAANA NATAFUTA NYUMBA NZIMA ILIYOJIFICHA AMBAYO IKO KWENYE MTAA ULIOJIFICHA..KODI YANGU NI LAKI 5 KWA MWEZI...NYUMBA IWE NA PARKING NA UZIO NA IWE IMEJIFICHA
 
😛eep: WAKUU HABARINI...NATAFUTA NYUMBA ILIYOJIFICHA MAENEO YA MIKOCHENI B,NYUMA YA TANESCO MIKOCHENI,MBEZI BEACH,,,NATAKA NIFUNGUE BIASHARA YA MASSAGE HIVYO NDO MAANA NATAFUTA NYUMBA NZIMA ILIYOJIFICHA AMBAYO IKO KWENYE MTAA ULIOJIFICHA..KODI YANGU NI LAKI 5 KWA MWEZI...NYUMBA IWE NA PARKING NA UZIO NA IWE IMEJIFICHA

kwa nini ijifiche, kwani unataka liwe danguro?!!!
 
Nyumba ipo ila haipo kwenye hayo maeneo uliyoyataja;
Imejificha sana tu;
 
Hivi! Nyumba inaweza jificha, paa lake hata lisionekane, duuu hii kali
nadhani uyo si mtu mwema kwanini ajifiche ,kama sio mbeba watu kupeleka mabwepande ,atakuwa mgoni ,huyu dawa yake ipo nyumba mikumi katikati ya mbuga akakae uko mbona ndio imejificha vizuri
 
​😛eep: WAKUU HABARINI...NATAFUTA NYUMBA ILIYOJIFICHA MAENEO YA MIKOCHENI B,NYUMA YA TANESCO MIKOCHENI,MBEZI BEACH,,,NATAKA NIFUNGUE BIASHARA YA MASSAGE HIVYO NDO MAANA NATAFUTA NYUMBA NZIMA ILIYOJIFICHA AMBAYO IKO KWENYE MTAA ULIOJIFICHA..KODI YANGU NI LAKI 5 KWA MWEZI...NYUMBA IWE NA PARKING NA UZIO NA IWE IMEJIFICHA

Zama Instgram search dalali wa kike Ndio kazi zake hizoooo....
 
Hii sasa inaonekana laiti ingekuwa imejificha ingekufaa
 
Attachments

  • 1406406824836.jpg
    1406406824836.jpg
    63.4 KB · Views: 153
ha ha ha kama si uchawi,basi ujambazi ...au danguro...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom