laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,732
mkopo wa kilimo ni mgumu sana kuupata cha kukusaidia kama una viela kidogo sajili kama kampuni ya kilimo tena kwa kutumia hiyo familia yako lima lima kizushi huku ukitengeneza hata cash flow feki kuonyesha unapata faida hata kama umepata hasara!.....tafuta na tin kabisa baada ya mwaka mmoja nenda benki unapata pesa tena nenda benki ya kilimo au TIB BANKWanahitaji nini hasa? Maana dhamana nitaweka hilo hilo shamba
Kusema elimu ya familia yangu ni kuzalilisha? We acha wengine wachangie wanaoona potentiality na sio elimu ya familiaHebu niambie we graduate wa SUA, Elimu ya familia yako ina influence vipi upatikanaji wa mkopo? Do you think it is necessary kudhalilisha familia yako na kisomo chao cha darasa la Saba?
Aise wewe unaijua Tanzania vizuri..bila ujanja ujanja hutoki bro..fuata huu ushaur bro uliye post..mkopo wa kilimo ni mgumu sana kuupata cha kukusaidia kama una viela kidogo sajili kama kampuni ya kilimo tena kwa kutumia hiyo familia yako lima lima kizushi huku ukitengeneza hata cash flow feki kuonyesha unapata faida hata kama umepata hasara!.....tafuta na tin kabisa baada ya mwaka mmoja nenda benki unapata pesa tena nenda benki ya kilimo au TIB BANK
uko ulipokuwa unapata mkopo ndio sehemu nzuri kwenda kuchukua tena banks nyingi awatoi pesa ndefu kama dhamana yako ni ndogo na aieleweki, kama kitu ni cha kifamilia watakuzingua awatakupa.Sijawahi kukopa bank,huwa nakopa kazini tu.Mwaka juzi nilikopa 2M nikazirudisha kwa 6months,mwaka jana nikakopa 4M nikazirudisha kwa miezi 8 na mwaka huu na mwaka huu nina mkopo wa 6M naumalizia mwezi nane kuurejesha japo mikopo hii inakua haina riba kabisa
Sijawahi kukopa bank,huwa nakopa kazini tu.Mwaka juzi nilikopa 2M nikazirudisha kwa 6months,mwaka jana nikakopa 4M nikazirudisha kwa miezi 8 na mwaka huu na mwaka huu nina mkopo wa 6M naumalizia mwezi nane kuurejesha japo mikopo hii inakua haina riba kabisa