Msaada; Natafuta mdhamini

Msaada; Natafuta mdhamini

dud alawi

Member
Joined
Mar 6, 2017
Posts
14
Reaction score
2
Habari zenu wadau
Mimi nimemalz kidato cha 4 since mwaka 2015 kwa matokeo aya B/MATH C, HIST C ,GEOG C,CIVICS D,KSW C,ENG D,BIO D,buh sikufanikiwa kuendelea na kidato cha tano kwa kuwa sijabalance combination pia, sikuweza kwenda private schools kutokan n hali ya kiuchumi hivyo nip tu mtaani ,naomba kwa mwenye uwezo anidhamini niende college,ni hayo tu wanajamii
 
Utahangaika sana cha kufanya hapo apply Chuo ukipata Chuo pita kwa mbunge wako na madiwani omba msaada
 
EGM na HGK zimekubali. Lakini tafuta chuo unachotaka kusoma. Ukipata admission letter pita humu na kwa viongozi. Utasaidiwa tu
 
HGK c imebalance hapo, au hautaki tu kusoma advance
 
Back
Top Bottom