Software Engineer
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 344
- 137
Asante mkuu.
Kwamba kwenye nyumba hutaki kufanya Skiming au nn?
Kuwa makini kwenye kutafuta mchanga laini maana unaweza ambulia vumbi ambalo hata sementi haishiki. Anyway, upo maeneo gani dar?
Mbagala ndo kuna mchanga mzuriWadau natafuta mchanga mlaini kwaajili ya kupiga plasta kwebye nyumba.
Kwa anaye fahamu dereva au mahali unapopatikana anifahamishe tafadhali.
Nipo jijini Dar es salaam
Njoo inbox nikuunganishe na madereva walio maeneo ya tegetaNipo Tegeta hapa
Kwamba kwenye nyumba hutaki kufanya Skiming au nn?
Kuwa makini kwenye kutafuta mchanga laini maana unaweza ambulia vumbi ambalo hata sementi haishiki. Anyway, upo maeneo gani dar?
Skiming hazifai ni uzuri wa muda mfupi.
Kwasasa tunatumia mashine maalum ya kulainisha ukuta then rangi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kokoto wanauza kwa "Cubic Metre". Nawezaje kujua kipimo sahihi cha "Cubic Metre" pale kijiko kinachota na kupakia kokoto kwenye gari?
mrangi Kwenye kokoto wanauza kwa "Cubic Metre". Nawezaje kujua kipimo sahihi cha "Cubic Metre" pale kijiko kinachota na kupakia kokoto kwenye gari?Mchanga mzuri ni ule unaotoka mbagala
Kwa plaster hauna shida
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri kijiko kimoja kinafikia cubic metre 3mrangi Kwenye kokoto wanauza kwa "Cubic Metre". Nawezaje kujua kipimo sahihi cha "Cubic Metre" pale kijiko kinachota na kupakia kokoto kwenye gari?
Njia nzuri ni kupima bodi ya gari ikiwa empty( urefu*upana*kimo) utajua gari inabeba cubic metre ngapi au pima volume ya hiyo bucket ya kijiko wanachopakiliamrangi Kwenye kokoto wanauza kwa "Cubic Metre". Nawezaje kujua kipimo sahihi cha "Cubic Metre" pale kijiko kinachota na kupakia kokoto kwenye gari?
Bei zake zikoje ?Mchanga mzuri ni ule unaotoka mbagala
Kwa plaster hauna shida
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mende ni 400,000Bei zake zikoje ?
Nipe contact za wahusika niwacheki
Cubic meter ni ujazo... kwenye hilo bodi la gari linalopakia, chukua urefu in meters, zidisha na upana in meter, then unachokipata kizidishe kwa kina cha bodi in meters... jibu utakalopata ndiyo cubic meters. Kama kokoto zimejaa nusu au robo, bima mpaka zinapoishia kokoto then uzidishe kama nilivuoeleza hapo juu...assumption ni kwamba kokoto zipo flat pale juu zinapoishiaKwenye kokoto wanauza kwa "Cubic Metre". Nawezaje kujua kipimo sahihi cha "Cubic Metre" pale kijiko kinachota na kupakia kokoto kwenye gari?