Msaada natafuta machine ya kuprint film,

Msaada natafuta machine ya kuprint film,

Ngongoseke

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
3,202
Reaction score
1,464
Habari zenu wa jf

Natumai muwazima wa afya.
Naombeni msaada wenu kwa mtu ambae anaju sehem au mahala naweza kupata machine ya film,
Inayoprint nailoni kama za mikate au mifuko ya plastic,iwe inatumia computer ndani ya tz au nje,

Natanguliza shukraan zangu,
Mawasiliano yangu
ibrah4real@gmail.com
Mobile, +96892321290
 
Back
Top Bottom