Msaada: Natafuta gari ya hesabu au mkataba

zincobinyo

Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
23
Reaction score
20
Habari za leo ndugu zangu.

Natafuta gari ndogo ya kufanyia kazi ya taxi. Ninaishi Dar es Salaam, nina uzoefu wa kazi hii kwa muda kidogo, pia nina account za makampuni makubwa kama Uber, Taxify (Bolt) na Ping.

Hata kwa anayehitaji dereva nina leseni class C1,C2 na C3. Kwa yeyote mwenye gari au anayemfahamu mwenye gari, naomba tuwasiliane kwa namba hii 0620 281 541.

Asante.
 
gari ya cc ngapi
 
Mimi ninayo na hua nawaza niifanye uber ila hadithi za ambao wameshafanya uber zimenikatisha tamaa
 
Ndugu yangu amini unachoona sio kusikia, hakuna biashara inayokosa changamoto, kama gari unayo Naomba tuwasiliane tufanye mazungumzo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom