Msaada: Natafuta fundi wa Nokia Lumia 720

Msaada: Natafuta fundi wa Nokia Lumia 720

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
140
Hi Guyz!!!!
nina simu yenye window phone 8, NOKIA LUMIA 720 Imepata tatizo katika batani zake za pembeni, zile za kuongezea saut na ile ya kutoa simu katika lock (power batan), nilijaribu kupeleka kwa fundi, alipoishika akaniambia tatizo ni switch, nkamwambia atengeneze, ila alipo fungua akaniambia tatizo ni mkanda mzima unaounganisha hzo batani hvyo inabidi kubadilisha sasa naombei msaada kwa mtu yeyote ambae anafahamu fundi atakae weza kuntengenezea huo mkanda, mm npo mwanza :help::help::help::help::help::help::help:
 
Back
Top Bottom