MSAADA - Natafuta fundi mzuri wa Suzuki Swift | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA - Natafuta fundi mzuri wa Suzuki Swift

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ortega, May 21, 2012.

 1. Ortega

  Ortega Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Waungwa kwanza niwasalimie Asalam aleiukum,

  Nimekuwa nikisumbuliwa na gari langu aina ya Suzuki Swift kwa muda mrefu sasa na mafundi wengi wameonekana wababaishaji wamekuwa wanafanya majaribio kwenye mkoko huu, gari imekuwa na miss zisizoisha nadhani itakuwa na tatizo la umeme au mfumo wa upepo umekaa vibaya.

  Kwa yeyote anayemjua fundi mzuri wa Suzuki Swift, psee naomba anijulishe namna ya kumpata
   
 2. F

  Frank jb JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2016
  Joined: Jun 3, 2014
  Messages: 411
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Habar yako Vp ulifanikisha kumpata fundi mzuri?
   
 3. Allency

  Allency JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2016
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 1,385
  Likes Received: 675
  Trophy Points: 280
  Mkuu hayo magari yanasumbua sana mafundi, nahisi kama uko dar basi hakuna anayeyaweza labda wachina, watu ninaowafahamu wote wanalia juu ya hayo magari wakidai hakuna fundi mzuri
   
 4. KIOO

  KIOO JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2016
  Joined: Mar 3, 2013
  Messages: 3,242
  Likes Received: 1,205
  Trophy Points: 280
  Jamani, muwe mnatazama na mada imeletwa lini mada ina miaka minne nyuma kweli...?

  Kwa Dar wapo D.T Dobie mkuu.

  Cc Frank jb
   
Loading...