M Mashy Senior Member Joined Mar 11, 2012 Posts 180 Reaction score 206 Nov 18, 2015 #1 Wakuu, nahitaji msaada kwa yeyote anayejua software inayoweza kunisaidia kubadili lugha ya kingereza kwenda kiswahili pindi mtu anaoandika au kusoma maandishi kwa kiingereza. Nitashukru ikiwa kuna yoyote atanisaidia kwa hili
Wakuu, nahitaji msaada kwa yeyote anayejua software inayoweza kunisaidia kubadili lugha ya kingereza kwenda kiswahili pindi mtu anaoandika au kusoma maandishi kwa kiingereza. Nitashukru ikiwa kuna yoyote atanisaidia kwa hili
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,263 Reaction score 44,391 Nov 18, 2015 #2 Tumia google translator Wanazo apps kama unatumia simu na pia unaweza kwenda website hii kama hutaki apps Translate.google.com
Tumia google translator Wanazo apps kama unatumia simu na pia unaweza kwenda website hii kama hutaki apps Translate.google.com
simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,786 Reaction score 9,719 Nov 18, 2015 #3 Download google translator app kutoka play store for free.