Msaada: Natafuta donors wa NGO

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Jul 17, 2014
2,379
2,046
Heshima Kwenu wakuu, tumekamilisha usajili Wa NGO, sasa tunatafuta donor kwa ajili ya kufanya project ya kwanza.

Naomba msaada jinsi ya kuwapata nipo dar
 
Kuhudumia jamii yenye uhitaji, ila kwasasa tumeandaa project ya kusapoti wamama waliotelekezwa na waliopata watoto wakiwa katika umri mdogo
Eneo mlilojikita ni zuri. Wafadhili wengi sasa wapo interested na miradi inayowagusa wanawake.

Kuna namna mbili za uombaji wa fedha.
Mosi: kuomba kabla mfadhili hajakutaka uombe (In-
advance grant appilication)
Pili; kuomba baada ya mfadhili kukutaka uombe (kwa maana ya ku-respond call for proposal ambayo imetolewa na mfadhili).
Kila njia ina faida na hasara zake.

Ikiwa mtataka kutumia njia ya kwanza;
Hakikisheni mnazisoma vyema policies za wafadhili mnaotaka kuwafuata, ikiwa sera zao zinaendana na maudhui ya mradi wenu, pelekeni barua ya ku-introduce mradi wenu (ni vyema mkaambatanisha na project doc)
Katika kuutambulisha mradi wenu, ombeni pia appointment kwa ajili ya presentation ya project yenu (ikiwa watakuwa interested)

MUHIMU: Kwenye barua ya kuutambulisha mradi wenu (baada ya kuwa acquainted na sera za mfadhili) ni vyema mkaeleze; kwa namna gani kutekelezeka kwa mradi wenu kutampelekea huyo mfadhili husika naye kufikia malengo yake ya kisera.

Ni vyema mkafahamu kwamba si lazima mfadhili mmoja akachangia gharama yote ya mradi, hivyo wafadhili mbalimbali wanaweza ku-share project granting, na ni vyema sharing yao ikaonyeshwa kwenye andiko (project doc)

Mtafanya haya endapo mtatumia njia ya kwanza.

Kwa case ya njia ya pili, mara nyingi mfadhili hutoa muongozo, hivyo mtapaswa kufuata tu huo muongozo

Ikiwa hii ndio project yenu ya kwanza; kwa nini msingeanza na INTERNAL CAPACITY BUILDING PROJECT ambayo ingewajengeeni uwezo katika usimamizi wa miradi na rasilimali-miradi kwa ujumla?

The Consult
+255 719 518 367
Dar es Salasm
 
Asante mkuu, ntakutafuta maana umeweka namba
 
Ni miaka saba sasa imepita, vipi kuhusu NGO yenu mlipofikia? Vipi donors mlipata?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom