Msaada: Nasumbuliwa na tumbo sana

Habari. Nimeshapata msaada. Naomben mfute hii post
 
Kamtupia zigo la kupakuliwa mavi mumewe ila hiyo ni michezo yake ya siku nyingi na kuacha kashindwa. Huwezi kuvuja damu kisha ukaendelea na huo mchezo kisa mume kama chanzo sio wewe can't you see this?
Wanawake wengine mtihani kweli, nawaza ni raha gani unayoitafuta kama baad y tendo mara haja ikutoke bila taarifa, hizo karaha za mavi kutoka ni kubwa kuliko hyo raha ya sekunde unayoipata ukifanya huo uchafu, Allah anikingre na hili wallah lkn bado sijaona sbabu yoyote ya msingi ya wewe kumpa huyo mwanaume sehem aliyokukataza mola wako kuitumia
 
Dah dunia inaenda kasi sana ,polee dada..sidhani kama mumeo ataacha iyo tabia ni ngumu sana ,narudia tena ni ngumu sana,ukikataa atakuwa anapata kwa wengine,na hapo bado utakuwa hujatibu tatizo kwa maana infection zina sambaa kutoka kwa mchepuko kuja kwako ata kama ukimpa mbele..
 
Lv is blind ,na hii wengi wanaangamia kwa hiyo kupenda kupitiliza au kuogopa kuachwa..Most of women are not independent wakitishiwa kuachika wanaogopa maisha na mchezo unaendelea.
 
Unaweza kunisaidia nisaidie. Huwez kaa kimya. Nikiwaga na tatizo Comments kama hizi huwa zinanivunja sana moyo. Plz
Kama ningekuwa wewe huyo mwanaume ningemuacha.unless kama wewe hicho kitendo unaifurahia.

Hata kama ni mme wa ndoa muache wanaume wapo wengi huo ni unyama unaofanyiwa. Utapata shida sana wKati wa kujifungua.

Mmeo ni mkatili sana mimi nasikia mwanaume alieoa hawezi muingilia kinyume mke sana sana anafanya kwa mchepuka ila sio mke wake.

Huyo mwanaume hakufai dada.fanya maamuzi haraka.
 
Kwani nyuma huwa una enjoy?

Nenda hospital, ukweli huu kamwambie daktari atakusaidia
 
Jamii forums kwa mara ingine nawaomben futen hii post.
 
Unaelekea uko hatua za awali za kupata tatizo la HAEMORROIDS ambalo hupelekea RECTAL PROLAPSE na hata Cancer ya Rectum.
Pia inawea kukuletea matatizo wakati wa kujifungua. You either stop or quit from that bond unless labda uwe unaona ni kitu kilicho sawa kwako/unaenjoy na labda umeogopeshwa/umepata hofu tuu baada ya kuona vidamu vinatoka.
 
Dada mm nakushauri usifute hili andiko- liache ili liwe somo kwa wengine- lakini utaandelea kupata mawazo mbali mbali- tena yanaweza kuwa mazuri zaidi ya hayo-mwisho Kama ulivyoelezea hapa ingekuwa vizuri pia ukawaaleza na madaktari.
 
Ye mwenyewe anapenda inaonekana angekua hapendi ashaacha au ashatoka...!!!


Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Yani nimesisismkwa kwa hasira. Yani hii laana itawapata mpka wanao,huyo mwanaume ni mshenzi sana. Anaweza kuwa anawafanyia mpk wanaume na anaweza akalawiti mpk wtt wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…