Msaada nasumbuliwa na maumivu ya shingo

Msaada nasumbuliwa na maumivu ya shingo

1. Siku ambayo upo off na upo nyumbani bado unapata tatizo?.

2. Kwa nini wamebadilisha lens mara mbili? Huenda lens unazopatiwa sio msaada wa tatizo lako.

Jaribu kwenda hospitali kubwa yenye vifaa kwa kisasa zaidi maana kuna baadhi ya hospitali wanapima tu uwezo wa kusoma maandishi kwa umbali fulani wanakwambia tafuta miwani ya namba fulani.
 
Kutokana na maelezo yako ninaona yafuatayo
1. Colon / Digestive System

Dalili za kuchoka, misuli kuwaka moto, na shingo kuuma zinaweza kuashiria toxicity au overload katika colon.

Epuka vyakula vya processed, sukari nyingi au pilipili.

2. Lymphatic System

Lymphatic system ikizidiwa inaweza kuonyesha dalili kama: uchovu, misuli kuuma, kuziba kwa mwili.
Exercise ya mwili yenye mwendo mdogo hadi wastani (walking, stretching, yoga) kusaidia lymphatic flow.

Kuwa na massage ya mwili yenye mwendo wa shinikizo laini (lymphatic drainage massage) kuondoa toxic buildup.

Kunywa maji kwa wingi ili kusaidia lymph fluid circulation.

3. Nervous System / Nerves

Moto kwenye misuli, mabega, mikono, na viuno unaweza kuashiria nerve irritation au inflammation.
Magnesium supplementation (natural: pumpkin seeds, almonds, spinach) kwa muscle relaxation.

Meditation au breathwork kusaidia nervous system kupumzika.

Unahitaji holistic approach: colon + lymph + nervous + blood.

Pendekezo:
Tumia hii dawa itakusaidia au yenye uwezo wa kutibu maaeneo tulio gusia.
 

Attachments

  • PSX_20250925_044320.png
    PSX_20250925_044320.png
    1.9 MB · Views: 10

Similar Discussions

Back
Top Bottom