Msaada: Nasikia kelele sana masikioni

Msaada: Nasikia kelele sana masikioni

huku kwetu

Senior Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
146
Reaction score
197
Wapendwa habari za asubuhi. Naomba nisaidie nitakuwa na shida gani jamn nina shida ya sikio langu la kulia kupiga kelel yani sio zile kelel za ziiiiii no hii nakuwa nasikia kama vile labda mishipa inasukuma damu yani ti ti ti (nadhan nimeeleweka wapendwa) yan inanipa shida sana siwez kulala kuangalia sikio ilo juu sipati usingizi kabisa kwa hizo kelele.

Pia saiz hadi kichwa kinaniuma. Nilishae.da hospital nikapewa neurosupport hapo zamn nikapona baada ya miaka miwil sasa limeanza tena nikienda hosp napewa tu hizi eardrops na antibiotics lkn bado. Mwenye uelewa naomba msaada wapendwa. Sorry kujieleza kazi
 
Kama utakua Dar , nenda TMJ hospital wana mtaalamu wa maskio anakuepo Kila Jumatano saa kumi na Jumamosi !
Ugua pole mkuu
 
Kama utakua Dar , nenda TMJ hospital wana mtaalamu wa maskio anakuepo Kila Jumatano saa kumi na Jumamosi !
Ugua pole mkuu
Iko sehemu gani mkuu, maan next week naweza pata kasafr ka dar maramoja naweza pass by
 
Wapendwa habari za asubuhi. Naomba nisaidie nitakuwa na shida gani jamn nina shida ya sikio langu la kulia kupiga kelel yani sio zile kelel za ziiiiii no hii nakuwa nasikia...
Mkuu hii dawa ya neurosupport ni kwaajili ya masikio tu?Naipataje mana Nna tatizo na mimi.
 
Wapendwa habari za asubuhi. Naomba nisaidie nitakuwa na shida gani jamn nina shida ya sikio langu la kulia kupiga kelel yani sio zile kelel za ziiiiii no hii nakuwa nasikia kama...
Ulinda hospital gani ukapewa neurosupport
 
Umepigwa kipapai, nenda Tanga watavivuta hivyo vidude
 
Back
Top Bottom