Magisha JF-Expert Member Joined Sep 27, 2015 Posts 617 Reaction score 500 Jul 7, 2016 #1 Nimekuwa katika mahusino na binti moja. Katika romance jogoo husimama ipasavyo. Shida ni pale ninapotaka kuingia jogoo analala, na mchezo huishia apo. Tatizo nini? Nifanye nini nami nienjoy neema hizi? Nawasilisha.
Nimekuwa katika mahusino na binti moja. Katika romance jogoo husimama ipasavyo. Shida ni pale ninapotaka kuingia jogoo analala, na mchezo huishia apo. Tatizo nini? Nifanye nini nami nienjoy neema hizi? Nawasilisha.
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,763 Jul 7, 2016 #2 Mimi nashindwa kutoka, jogoo akishaingia hataki tena kutoka! Tatizo ni nni? Nifanye nini nami nienjoy neema hizi? Nawasilisha
Mimi nashindwa kutoka, jogoo akishaingia hataki tena kutoka! Tatizo ni nni? Nifanye nini nami nienjoy neema hizi? Nawasilisha
TECHMAN JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 2,649 Reaction score 1,128 Jul 7, 2016 #3 Magisha said: Nimekuwa katika mahusino na binti moja. Katika romance jogoo husimama ipasavyo. Shida ni pale ninapotaka kuingia jogoo analala, na mchezo huishia apo. Tatizo nini? Nifanye nini nami nienjoy neema hizi? Nawasilisha. Click to expand... Hebu jaribu kubadili mtandao uone?
Magisha said: Nimekuwa katika mahusino na binti moja. Katika romance jogoo husimama ipasavyo. Shida ni pale ninapotaka kuingia jogoo analala, na mchezo huishia apo. Tatizo nini? Nifanye nini nami nienjoy neema hizi? Nawasilisha. Click to expand... Hebu jaribu kubadili mtandao uone?
S Sukamahela New Member Joined May 31, 2016 Posts 2 Reaction score 0 Jul 7, 2016 #4 Acha uzinzi, Muumba wetu ametukataza, Fanya mpango uoe, Mola atatia Baraka mambo yako
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,093 Reaction score 34,910 Jul 7, 2016 #5 Magisha said: Nimekuwa katika mahusino na binti moja. Katika romance jogoo husimama ipasavyo. Shida ni pale ninapotaka kuingia jogoo analala, na mchezo huishia apo. Tatizo nini? Nifanye nini nami nienjoy neema hizi? Nawasilisha. Click to expand... Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Magisha said: Nimekuwa katika mahusino na binti moja. Katika romance jogoo husimama ipasavyo. Shida ni pale ninapotaka kuingia jogoo analala, na mchezo huishia apo. Tatizo nini? Nifanye nini nami nienjoy neema hizi? Nawasilisha. Click to expand... Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
La Pronto JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 975 Reaction score 1,166 Jul 7, 2016 #6 Exactly what happened to me kwnye cku za kwanza kwanza... Nakumbuka hlo tatizo lilidumu kama miezi sita iv, ila huyu mke wangu alikua ana imani sana na mm.... Cku ilipokubali kuingia ni mwendo mchibuyu had sa iv! Kikubwa jiamini mzee!
Exactly what happened to me kwnye cku za kwanza kwanza... Nakumbuka hlo tatizo lilidumu kama miezi sita iv, ila huyu mke wangu alikua ana imani sana na mm.... Cku ilipokubali kuingia ni mwendo mchibuyu had sa iv! Kikubwa jiamini mzee!
Rajab_Omar JF-Expert Member Joined May 15, 2016 Posts 16,480 Reaction score 27,185 Jul 7, 2016 #7 Kwanza Kabisa Acha Kupiga Puchu! Ukishaacha tu Nitakufundisha jinsi ya Kujitibu. Mkuu Puli itakumaliza...
Kwanza Kabisa Acha Kupiga Puchu! Ukishaacha tu Nitakufundisha jinsi ya Kujitibu. Mkuu Puli itakumaliza...