Msaada: Napenda sana kufanya mapenzi

Msaada: Napenda sana kufanya mapenzi

Jamani naomba mnisaidie yaani napenda sex Sana yaan hadi najionea huruma nifanyaje ili niweze kupunguza , si kwamba kila siku nafanya inaweza kuisha mwezi sijafanya ivo ila pale ninapokutana na muhusika yaaan hamu huwa haniishi,
hujasema we ni mwanamke au mwanAume
 
sidhani km kutoa ushauri ni lazima ujue km ni mwanaume au mwanamke we toa tu ushauri, nahisi ndo maana humu watu hawapendi kutumia real name, toa ushauri tu
 
Ni vyakula tunavyo kula,pia jiweke busy muda mwingine hata km yupo karibu.

Jaribu kuzuia mihemko yako,
Punguza faragha nae yan muwe munakutana mahali pa waz.

MCHE MUNGU UEPUKANE NA UOVU
 
Back
Top Bottom