Msaada: Napata wapi gazeti la serikali

Msaada: Napata wapi gazeti la serikali

Gogle

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,495
Reaction score
871
Wakuu,
Wakuu msinicheke tafadhali, hivi nawezaje kupata gazeti la serikali? Ya Zanzibar na ya muungano, hivi hili gazeti la serikali linatolewa kila siku au kila wiki au kivipi? Je linapatikana online? Kama linauzwa ni shilingi ngapi? Dah huyu Jecha kaniletea maswali mengi sana.
Kwa anaejua tafadhali anisaidie, msinikebehi jamani.
 
Nenda government bookshop broo......zipo kila mkoa nadhani
 
Online hakuna, bei yake sijui coz sie ofisini tuna suscribe kwa Mwaka 100,000/= kila yakitoka tunaletewa...
 
Government gazette.google upate majibu
 
Wakuu,
Wakuu msinicheke tafadhali, hivi nawezaje kupata gazeti la serikali? Ya Zanzibar na ya muungano, hivi hili gazeti la serikali linatolewa kila siku au kila wiki au kivipi? Je linapatikana online? Kama linauzwa ni shilingi ngapi? Dah huyu Jecha kaniletea maswali mengi sana.
Kwa anaejua tafadhali anisaidie, msinikebehi jamani.

.COM mna kazi kweli kweli! Nenda kwenye Tovuti Kuu ya Serikali kila kitu kipo pale. Hayo hapo: Tovuti Kuu ya Serikali: Gazeti la Serikali
 
Nenda government bookshop kwa Dar Ipo nyuma Benjamin Mkapa Towers palipo benk ya Crdb azikiwe kwa nyuma kuna barabara ukiuliza hapo watalyonyesha.bei yake haizidi 5,000 lakini uwe na uhakika na tangazo linahusu nini na lilitoka lini.unaweza kuta hawajaprint au bado liko kiwandani.
 
Back
Top Bottom