likemike
Senior Member
- Mar 10, 2016
- 115
- 56
Habarini
Mimi ni kijana mtanashati. Mrefu futi 5 na ushee rangi dhahabu na mwili wenye afya tele. Umri wangu miaka 25 na Elimu yangu ni ya kuridhisha kwa kweli.
Napenda kujichanganya na watu wote hasa wale wa kawaida. Kipato changu ni cha kawaida sababu kinamudu kuniweka mjini mimi na dogo langu ninayemfadhili katika masomo. Ni binti, na nimemzidi takribani miaka 6.
Nimekuwa mhudhiriaji mzuri sana hapa na kuona mambo mbalimbali. Mengine nimechangia mengine yameniondolea msongo na mengine yameenda mbali zaidi na kuifanya siku zangu kuwa zenye furaha sana. Kwa hayo nasema Ahsante wana JF.
Muda mfupi hivi karibuni nimekuwa si mchangiaji au niseme mshiriki mzuri kwa ujumla. Sababu ni tatizo lililonipata ambalo licha ya kutofautiana na mengi yanayoletwa humu, limenifanya nikaamini si kila story humu ni ya kusadikika au hata za kuiga 'copy and paste.'
Nimeamini kwani nami yamenikuta. Leo nimekuwa mfano hai wa Tomaso mpaka nimegusa.
Yamenikuta, yaamenikuta mzee mwenzangu na nilipoyapeleka kwa jamaa na waskaji nimekosa ufumbuzi. Nimeona ni vema niyaweke hadharani hapa. Nanyi nyote mjionee yanawezekanaje mambo haya?
Swala lilonikumba hivi karibuni takribani wiki tatu sasa ni "mihenko." Nimekuwa napata hisia kali sana za kufanya mapenzi nisijue zinatoka wapi. Kuna wakati nimehisi mpaka harufu ya mwili wangu 'fragrance' imebadilika na kuwa ya kimahaba.
Mara ya mwisho kukutana na mwanamke kimwili ni karibu mwaka mmoja umepita sasa. Nilikuwa kwenye mahusiano ya mbali 'long distance relationship' yakavunjika. Sababu ikiwa ni mimi na nimekuwa nikijuta mara kadhaa. Lakini najua bora kutokuishi kwenye wakati uliopita. 'I don't live in the past'
Mhemko nnaopata unanivuruga kichwa. Kuna saa nakuwa kama mbwa aliyehisi harufu ya jike la mbwa 'bitch' anayetaka kupakupandwa. Huwa nahangaika bila utaratibu na sijui kama watu wangu wa karibu wamehisi hasa huyu mdogo wangu.
Cha kusikitisha nahisi kabisa kinachoendelea ndani ya mwili wangu. Nahisi hisia kali za kutaka kushiriki tendo na najaribu kujizuia sana, tena sana. Lakini nashindwa, hizi hisia kali zinanishinda maarifa na nguvu.
Achilia mbali utanashati, mvuto wa mwonekano na uvaaji ambavyo vinawavutia akina dada wengi, nimejisemea moyoni, nisingependa kuduu mpaka ndoa. Pengine miaka miwili au mitatu baada ya kutoka kwenye mahusiano mwaka jana. Mwaka wa kwanza ndo huo umeisha na nilichoambulia ni 'mihemko' kwa wiki karibu tatu sasa. Mihemko ambayo sijui alpha yake wale ukomo wake.
Sasa najiuliza hapa hii hali inasababishwa na nini? Embu niambie ukinikuta kijana kama mimi nimeopoa dada poa naenda piga show ya kibabe si utashangaa sana?
Hii hali kitabibu huwa inatokea au nimeingiwa na pepo mahaba mimi? Kama ni pepo, na Lishindwe kwa kweli. Halina nafasi katika mwili wangu.
Nimejaribu kujichua mara mbili sasa, lakini hali inaondoka dakika chache baadaye inarudi. Nifanyeje mimi mtoto wa kiume? Nifanye nini mimi kabla sijaumbuka.
Sitaniii au kunogesha story ninaposema huu mhemko unaambatana na harufu ya mahaba. Ni kama ile harufu unayoihisi kutoka kwa dume la mbuzi, beberu. Sasa fikiri harufu ya mahaba inayotoka kwa dume la binadamu. Ni harufu ambayo nimekuwa nikiihisi mara kadhaa hapo nyuma wakati wa matendo makuu.
Je, hii hali inantokea mimi tu au ni kawaida kwa wanaume wasiofanya mapenzi mara kwa mara? Na mbona inanipelekesha sana, misimamo yangu yote na maringo saba kwa wadada wa mtaani na kazini naona inafikia tamati.
Sijaribu kusema hapa mimi mkamilifu na sifagilii show za kibabe, La hasha. Njitahidi kujizuia. Najitahidi kutokuwa mbwa koko.
Tafafhali mwenye siluhisho, ushauri maoni...
Like the old adage goes, Scratch my back and I will scratch yours.
Please help its an emergency.