maana yake ni kuwa kuna program uliyoinstall inatatizo (maybe ime corrupt kwa virus au wakat wa kuinstall kuna faili haiku copy vizuri, au umeinstall program kwenye window isiyo support hiyo program ) so pc inapowaka na kuanza kuload hiyo program hilo file halionekani au halisomeki na window system...
cha kufanya , kwanza itambue hiyo program ni program gani ...(kama huijui fatilia program ya mwisho kabisa kuinstall kabla ya hili tatizo kuanza).
pili tafuta system requirements ya hiyo program uangalie kama ni compatible na OS unayotumia.
tatu, kama ni compatible then i unstall yote kisha uinstall upya kwa umakini zaidi (kuna baadhi ya program huwa zinaleta message flani hivi kama options ambazo watu wengi sana huwa hawasomagi wao ni next next next tu matokeo yake inakuletea shida baadae kwa kutochagua options sahihi kulingana na system yako!!
zaidi ya hapo...inawezekana pia ikawa ni virus wame corrupt hiyo program so ni bora u scan na pc yote kabisa..