Msaada: Naombeni mbinu za kukataa mimba

Nimecheka kishenzi sasa wakati unamtomba hukufikilia utakapo maliza nyege akili itarudi tena
 
Mkuu Miezi tisa ni mingi unawza kujipanga kidogo kidogo.....tafuta kazi yoyote fanya kwa bidii, punguza matumizi yasiyo ya lazima kiasi unachopata save uje umuhudumie mtoto na mama kumbuka kila jambo hutokea kwasababu ....tupilia mbali hilo wazo lakwamba wewe bado ni mdogo na anza kufikiri njia chanya za kubeba na kutatua hilo jukumu. Mwanaume hupambana na kutatua changamoto
 
Ulipanda mahindi ukategemea kuvuna mihogo? [emoji23][emoji23][emoji23] man up and take the responsibility...
 
Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
Watoto wadogo hawawezi wapa wanawake mimba... Wakiwaambia mtumie condom mnaona wanawaonea.
 
Hamna usiogope kwamba hali ' mbaya unapokuwa kwenye hali filan pia akili inafunguka zaid na milango inafunguka mpaka unavuka hyo hali jtahd usikimbie majukumu sasa jiulize we unakimbia je hyo unayemuachia na hautokaa upate aman moyon mwako jipange sasa angalia namna ya kumchukua kama bado unaona tabu unaeza kuomba kwa mda huo aendelee kulea mimba kwao hku unapeleka visent kidogo sasa hapo unaendelea kujipanga
 
Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana

Tangu lini mtoto mdogo ampe mwanamke mimba? Wewe ni mtu mzima ila umejidekeza kuishi na wazazi mpaka unakaribia kuitwa baba sasa! Tena Mungu akupe baraka ya MAPACHA ili akili ikujie!
 
Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
Kama haukuwa tayari kwanini ulikula Papuch ya watu hukujua matokeo yake.Yapokee tu maana mshahara wa Ku do.
 
Sikushauri kuikataa mkuu fanya uielee azae.Huwenda mtoto badae akaja kuwa Rais ama Professor fulani.
 
Baada ya kumpa mimba ndiyo unagundua kuwa wewe ni mdogo sana? Hapo hamna jinsi jipange tu kukabiliana na majukumu.
 
Yaani kama nimekuelwa vzr unatuomba tukupe ushauri namna nzuri ya kuikataa hiyo mimba hebu twende taratibu tutaelewana tuu

Iko ivii yaani wewe unatuomba ushauri ufanye upumbavu wa kiasi ichoo acha bangi nasema tens acha bangi dogo unazingua kinyama

Yaani wakati unaingiza si ulikua unaskia raha sasa hiyo ni yako ime kwangukia ni yako

Sasa kama (tukiwa wapumbavu tukakupa ushauri namna ya kukimbia/kukataa mimba unataka nani ailee???....


Nani abebe majukumu yako ?????



Ni upumbavu uliovuka mipaka kama majukumu yako ukakimbia/ukamwachia au hata kutaka kumsukumia mtu mwingine ambayo ni wajibu wako

Nasema tena acha bangi kwamba mpaka leo hujui kwamba kuna matokeo kwa kila action sasa kwa kua hayo ndo matokeo yaliyo tokea

Jifunze kuchua majukumu yaliyo halali kwako ndo ukubwa huo


Kama wewe unataka kumkimbia/kumkana au kumkwepa kwa namna yoyote ile nani unazani atachukua hayo majukumu yako ?? Ya kumlea mama mjamzito na mtoto ajaye

Punguza idadi ya single mother kwa kuchukua majukumu yako


Punguza idadi ya wanaume wapumbavu ambao watoto wao wanalelewa na wanaume wenzao huku wao wakiwa wanapiga na kuzungusha bapa bar

Fikiria depression atakayo kuepo nayo endapo na wewe mhusika ukimkimbia
 
Una miaka mingapi? Akili yako bado haijakomaa wewe, ngoja nikupige tafu.
1. Ongea na wazazi wako kwa kuwaambia ukweli na wakikuuliza unatakaje waambie upate ushirikiano wa kuitunza mimba na kumlea binti mpaka pale utakapoweza kujitegemea.
2. SIKU ZOTE MWANAMKE AKIKWAMBIA ANAKUSIKILIZA WEWE, tambua kuwa anategemea zaidi umjibu aitoe mimba, umeshindwa kujiongeza ktk hili, huyo binti option pekee aiwazayo ni kutoa, kwake ndio anaona ina unafuu ila amekukuta wewe ni muoga saana.

Ukimwambia ataweza kukataa ila ukimbembeleza atakubali sababu hataki kuonekana yeye ni mnyama kiasi hiko. Kama unajua mimba haijazidi miezi 2 na Nusu niPM.
 
Bado huja anza kununua pampers za mtoto na maziwa umepanic hivo!acha uoga ka nahuo demu wako muonyeshe life style unayo kama haijakuruhusu kuish nae ukubal kumsaidiza akiwa kwawo uzito utapungua kidogo!!!
 
Dah haya mambo nilikuwa nasikia tu kwa watu Sasa nimejionea mwenyewe kumbe ndo waga inakuwa hivi
Mchawi pesa peke yake... ungekua na pesa hata usingewaza unachowaza ungemuacha azae na ukalea bila wasi wasi...


Nadhani ulipumbazwa na ule msemo mwanaume mashine, ukasahau kwamba mchawi pesa... mwanaume pesa...



Cc: mahondaw
Sawa women abortion doctor dogo soon anakutafta!
 
daah baba kijacho ujajipanga.. mbaya sanaa mchukue huyo mwanamke mpeleke kwenu alaf elezea hali alisi kwa baba ako na mama ako mbele ya huyo mwanamke alaf waulize wazazi wako vipi mnaonaje nikatae au nikubali mimba.? wakikushauri uwikatae basi unaikataa hiyo mimba...ni hayo tuuh
 
Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
Futa kauli,wewe sio Mdogo.
Kamwe Mdogo huwa hatombanxx.
Ulitaka chai,kwanini ulalamike unaungua,kuwa mtulivu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…