Msaada: Naomba msaada namba za customer care Tanesco

Amigoh

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Posts
2,064
Reaction score
3,009
Hawa jamaa wanafanya maisha yanakuwa magumu.. wanatusababishia hasara kubwa, wanakata umeme bila taarifa yoyote Ile.

Wanatakiwa wawe na namba za customer care kama ilivyo Kwa mitandao ya simu.

Naomba msaada wa namba zao kama wanayo hiyo huduma.
 
Hiyo
IMG-20211204-WA0042.jpeg
 
Hawa jamaa wanafanya maisha yanakuwa magumu.. wanatusababishia hasara kubwa, wanakata umeme bila taarifa yoyote Ile.

Wanatakiwa wawe na namba za customer care kama ilivyo Kwa mitandao ya simu.

Naomba msaada wa namba zao kama wanayo hiyo huduma.
Namba ya TANESCO huduma kwa Wateja ni 0748550000

Karibu sana
 
Hawa jamaa wanafanya maisha yanakuwa magumu.. wanatusababishia hasara kubwa, wanakata umeme bila taarifa yoyote Ile.

Wanatakiwa wawe na namba za customer care kama ilivyo Kwa mitandao ya simu.

Naomba msaada wa namba zao kama wanayo hiyo huduma.
Uko mkoa gani? Kanda hipi?
 
Back
Top Bottom