Sikuzote mimi huwa ninaamini hivu.....
Kwa lolote ambalo unataka kukifanya ni lazima lianze na wazo.
Na ikiwa wewe ndie mwenye taswira ya kile unacho taka kukifanya, jibu lake ni kwamba lazima tayari umeanza na wazo.
Sasa unapo taka kufanya kitu na kisha ukaomba ushauri wakati hakuna mwenye kuiona ile taswira ya hasa nini unawaza, basi jibu ni kwamba tayari umeanza kufeli.
Kimsingi ulipaswa upendekeze majina kadhaa uliyo yawaza, na kisha ukaomba ushauriwe ama kupendekeza jina la biashara unayo ifukiria.