Msaada: Naomba kupewa gharama za hatua hizi za ujenzi

Habari za kwenu wanajamvi,
Nakuja hapa nikiomba ushauri/msaada wa dhati kabisa juu ya ujenzi nina 15million ya kumalizia vitu vichache je itatosha? na kwa sasa najua wengi wenu humu mna uzoefu na mafundi mpo humu, kwa mtu anaejua naomba kujuzwa nyumba yangu ina ukubwa wa 14.6*12.3 Squaremita na vyumba vinne, sasa nipo kwenye hatua ya finishing naomba msaada wa kujua nyumba ya namna hii yenye vyumba vinne je gharama zikoje katika hatua hizi hapo chini

Blundering
Kupiga plasta
Kufanya plumbing
Kuweka tiles
Wiringi
Kupiga rangi
Madirisha ya aluminium

Naomba usaidizi gharama za mafundi na materials zikoje?
Ina depend na viwango vya finishing.... Diridha moja tu lenye wa wastani wa size hizo double glass, frame za pvc si chini ya laki 8-9
 
Haupo nje ya mada mamitoo, mbona mchango wako mzuri na paa tayari nilishaweka, nimebaki na hela ya finishing phase na ndiyo mziki, sasa hapa ni vipaumbele ndiyo nataka kuviweka sasa nataka kujua gharama za mafundi na hata materials
Dada ametoa mtiririko sahihi. Fanya plumbing,wiring,blundering,fremu za milango, weka grill,rough floor halafu piga plaster,piga rangi,weka vyoo,madirisha ya wavu,milango hapo ukiamua unahamia.
 
Sijakulewa kidogo mkuu, 8-9 kwa idadi gani, na je ni grill na aluminium
 
Haupo nje ya mada mamitoo, mbona mchango wako mzuri na paa tayari nilishaweka, nimebaki na hela ya finishing phase na ndiyo mziki, sasa hapa ni vipaumbele ndiyo nataka kuviweka sasa nataka kujua gharama za mafundi na hata materials
Mafundi bei zao ni "negotiable". Kwa mfano hapo kwenye plumbering kama uko "Daa" unaweza kuangalia angalia vijana wa DAWASCO wanakufanyia kwa bei nzuri.
Mimi niko Mwanza, ungekuwa Mwanza ningekuunganisha na mafundi wa vitu vyote hivyo kwa bei ambayo haikuumizi wewe wala yeye (mutual bei).
 
fanya kimoja at a time, ukipewa gharama unaweza kukata tamaa, unajua siku hizi qualities zinatofautiana sana. ni vigumu sana kupewa gharama zinazo karibia ukweli bila kufanya mahojiano ya kina. mbona umesahau mabati?
Exactly...?? Tena afanye window shopping za kutosha, kabla ya kufanya manunuzi, mimi nilikimbilia kwa wa Spanish pale... Nimekuja kuona tiles zingine super nikachoka kabisa
 
Mabati nilisha paua mkuu nikitumia IT5 mgongo mpana colour O/E hapo ndipo palinimaliza hela ila God is good nimeshapita hiyo stage, hapa nawaza hivyo vipaumbele nilivyoviweka juu
 
Habari za kwenu wanajamvi,
Nakuja hapa nikiomba ushauri/msaada wa dhati kabisa juu ya ujenzi nina 15million ya kumalizia vitu vichache je itatosha? na kwa sasa najua wengi wenu humu mna uzoefu na mafundi mpo humu, kwa mtu anaejua naomba kujuzwa nyumba yangu ina ukubwa wa 14.6*12.3 Squaremita na vyumba vinne, sasa nipo kwenye hatua ya finishing naomba msaada wa kujua nyumba ya namna hii yenye vyumba vinne je gharama zikoje katika hatua hizi hapo chini

Blundering
Kupiga plasta
Kufanya plumbing
Kuweka tiles
Wiringi
Kupiga rangi
Madirisha ya aluminium

Naomba usaidizi gharama za mafundi na materials zikoje?
umepataje hizo hela kipindi hiki
 
Pia katika hii mada nimesahau kuuliza hivi vitu hapa..... Je

=Marumaru gani ni bora/brand na bei elekezi°°°
=Vifaa vya wiring ni brand gani nzuri je vipi tronic?
=Vifaa vya mabomba na sink brand gani nzuri na bei zake
Karibuni kuchangia na hili swala
Tembelea maduka wewe mwenyewe. Tronic nzuri. Kwa nyumba zetu watu wa chini huwezi kuwaepuka wachina ila unaangalia mchina kiwango kizuri kidogo. Tembelea maduka ya Kariakoo mwenyewe utajua bei.
 
Hebu niambie hayo madirisha sijajua madirisha ya pvc yapoje
maxresdefault.jpg

upvc-two-track-sliding-window-500x500.jpg
 
Mafundi bei zao ni "negotiable". Kwa mfano hapo kwenye plumbering kama uko "Daa" unaweza kuangalia angalia vijana wa DAWASCO wanakufanyia kwa bei nzuri.
Mimi niko Mwanza, ungekuwa Mwanza ningekuunganisha na mafundi wa vitu vyote hivyo kwa bei ambayo haikuumizi wewe wala yeye (mutual bei).
Japo nisaidie kujua figure ili nifanye mlinganisho na mafundi naokutana nao
 
Exactly...?? Tena afanye window shopping za kutosha, kabla ya kufanya manunuzi, mimi nilikimbilia kwa wa Spanish pale... Nimekuja kuona tiles zingine super nikachoka kabisa
Marumaru gani nzuri i mean brand wise
 
Dada ametoa mtiririko sahihi. Fanya plumbing,wiring,blundering,fremu za milango, weka grill,rough floor halafu piga plaster,piga rangi,weka vyoo,madirisha ya wavu,milango hapo ukiamua unahamia.
Marumaru ni baada ya kufanya yote si ndiyo?
 
Back
Top Bottom