Msaada: Naomba kujuzwa namna ya kuapply Chuo

socha

Member
Nov 25, 2015
42
24
Habarini Wana jf

Naomba msaada jinsi ya kuapply chuo naapply vipi? Na pia nitapataje udhamini wa elimu kwenye vyuo vya hapahapa Tanzania?

Naomba kwa anaeelewa anieleweshe nahitaji na pia natamani niendelee na masomo japo pesa ndo changamoto kubwa kwangu.

Asanteni
 
Habarini Wana jf

Naomba msaada jinsi ya kuapply chuo naapply vipi? Na pia nitapataje udhamini wa elimu kwenye vyuo vya hapahapa
Tanzania?
Unahitaji kuapply chuo kwa ngasn gani(Certificate,Diploma au Bachelor degree)? Pia ngazi yako ya elimu ni ipi na unahitaji vyuo vya kozi gani? KIFUPI ILI KUAPPLY UNATAKIWA USUBIRI DIRISHA LA MAOMBI LIFUNGULIWE KUTEGEMEANA NA NGAZI YA CHUO UNACHOTAKA KUOMBA KISHA UTAINGIA KWENYE WEBSITE YA CHUO HUSIKA AU NACTE KWA VYUO VYA AFYA NA YALIMU(VYA SERIKALI KWA CERT&DIP), UKISHAINGIA KWENYE WEBSITE YA CHUO KINA LINK UTAONA YA APPLY ONLINE UKIIBONYEZA UTAFWATA MAELEKEZO.


Naomba kwa anaeelewa anieleweshe nahitaji na pia natamani niendelee na masomo japo pesa ndo changamoto kubwa kwangu.

Asanteni
 
Back
Top Bottom