Msaada: Naomba kujuzwa kuhusu Kilimo cha Mlonge

Msaada: Naomba kujuzwa kuhusu Kilimo cha Mlonge

Joined
Nov 6, 2012
Posts
48
Reaction score
23
Waungwana wakubwa KWA wadogo wake KWA waume itifaki imezingatiwa, naja kwenu ndugu zangu ninaomba msaada wenu wa mawazo na ushauri,ninahitaji kujua/kufahamu juu ya kilimo cha mlonge na soko LA Mali ghafi zake likoje na KWA nchi yetu Tanzania mnunuzi mkubwa wa mlonge ni nani,
Msaada tafadhari
 
Kuna kampuni lilikuwa Arusha wanaita MORINGA AFRICA bahati mbaya nimepoteza mawasiliano yao wao ni wanunuzi wa products zote za mlonge
 
Nilipata habari ya huu mmea hapahapa JF... itafute
 
Asante waungwana, nipo kwenye harakati za kujikita kwenye kilimo, Nina shamba lenye ukubwa wa ekari 16 huko boko nimejaribu kupanda mihogo heka 3 ila nyani wamevamia cjapata chochote,nikawaza nipande miti aina ya mitiki msimu huu wa mvua zijazo ila nikiwa kwenye folen za Ubungo nikanunua kitabu kinaelezea kilimo cha mlonge nikaamasika sana baada ya kuona ni kilimo cha muda mfupi mpaka kuvuna...
 
Unataka mafuta ya mlonge ni sh.25,000/=lita
Mafuta yapo mengi.
Ni Pm
 
Back
Top Bottom