Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,104
Nimeomba msaada kwa sababu nahisi ndio wimbo utakaokuwa umefanikiwa cover nyingi zaid duniani na kila nikitafuta aliyeuanzisha sipati. Wajuzi naomba msaada.
Thank you very much for breaking this code mkuu... Nimemuangalia kwa youtube anaweza akawa ndiye mwenye wimbo coz anauimba kwa utulivu na tone ya aina yake. Na Ina view milion71. Japo sio kigezo but naamini atakuwa ndiye mwenye og. Video hii hapa.Kama Ntakuwa sahihi, huu wimbo uliandikwa na LEONARD COHEN ambaye ni raia wa CANADA, na ulitoka kwenye albam yake ya VARIOUS POSITIONS mwaka 1984
Baada ya hapo ndio ulianzwa rudiwa rudiwa na wasaanii mbalimbali duniani