Msaada: Naomba kujua kuhusu kozi ya Procurement and Transport

Je ukisoma kozi hii utani shughuli aha hasa na nini pia ni chuo gani ambacho kinatoa kozi hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa vzr, uandishi wako mgumu kidogo
Ila katika kozi ambayo ina mafuriko ya watu ni procurement course na ni miaka mitatu . Mara mia ukasoma accounting, au ishu za pharmacy kama unavigezo
Kozi hizo ni rahisi kupata ajira angalau maana kote kuna mafuriko lakini ya procurement yamezidi😭😭
 
Back
Top Bottom