Sasa Kama mtu anasoma Bsc In Biology Miaka mitatu ili lengo aje asome Afya mfano MD 5yrs, Au Nursing 4yrs kwanini asisome Diploma yoyote ya Afya sahv!!
Aseeh kichekesho Sasa unaweza kamata Mwanafunzi wa Mwaka was kwanza hiyo Programme ukamuhoji Field unafanyia wapi anakwambia hata sijui tunafanyia wapi!! Kama hataweza kuhamia Chemistry nashauri tu akamate Diploma yoyote ya Afya hapohapo UDOM!! Hatajuta!!!