Fungarakwaki JF-Expert Member Joined Mar 12, 2023 Posts 1,907 Reaction score 4,720 Jun 18, 2023 #21 Scolari said: Nimeona mzumbe wao wako open kwenye application Click to expand... Apply
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 6,618 Reaction score 4,294 Jul 15, 2024 #22 Asee
Kitchener JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 13,833 Reaction score 27,748 Jul 15, 2024 #23 Scolari said: Wasalaam wakuu...... Kama kichwa cha habari kinavyojieleza waungwana naomba kujuzwa Ada kwa vyuo vikuu vya serikali ni kiasi gani kwa undergraduate degree program yaani ile tunasemaga digrii Click to expand... ni ndogo sana, ni kama hizi tunalipia watoto wetu shule za english medium, nalipia watoto 6 primary. ada inazidi hata wale wa chuo.
Scolari said: Wasalaam wakuu...... Kama kichwa cha habari kinavyojieleza waungwana naomba kujuzwa Ada kwa vyuo vikuu vya serikali ni kiasi gani kwa undergraduate degree program yaani ile tunasemaga digrii Click to expand... ni ndogo sana, ni kama hizi tunalipia watoto wetu shule za english medium, nalipia watoto 6 primary. ada inazidi hata wale wa chuo.
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 6,618 Reaction score 4,294 Jul 15, 2024 #24 Yesu Anakuja said: ni ndogo sana, ni kama hizi tunalipia watoto wetu shule za english medium, nalipia watoto 6 primary. ada inazidi hata wale wa chuo. Click to expand... Mkuu utakuwa kwenye litaasisi likubwa unakunja mpunga mkubwa
Yesu Anakuja said: ni ndogo sana, ni kama hizi tunalipia watoto wetu shule za english medium, nalipia watoto 6 primary. ada inazidi hata wale wa chuo. Click to expand... Mkuu utakuwa kwenye litaasisi likubwa unakunja mpunga mkubwa
Kitchener JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 13,833 Reaction score 27,748 Jul 15, 2024 #25 hip hop uchwara said: Mkuu utakuwa kwenye litaasisi likubwa unakunja mpunga mkubwa Click to expand... biashara tu mkuu, huko tulishatoka.
hip hop uchwara said: Mkuu utakuwa kwenye litaasisi likubwa unakunja mpunga mkubwa Click to expand... biashara tu mkuu, huko tulishatoka.