Asante mkuu nimekupataAisee kwa 300K. Hutaweza kupata DSLR, yaani zile camera za maana hata used. Labda nikushauri uanze na Digital ndogo , pengine utafute Digital Used ya kuanzia. Pitia kwenye maduka camera Used na pia ongea na wapigapicha watakupa uzoefu
Ok nashukuru Sana ,nimekupatamkuu simu zinatoa picha nzuri kuliko digital camera, ushauri ongeza ongeza kidogo kwenye laki 4 mpaka 6 dslr used zinapatikana. otherwise hio laki 3 nunua tu simu flagship ya zamani.
chengine kinachofanya simu isitoe video nzuri za harusi ama birthday ni
1. microphone mbovu za simu
2.mitikisiko ya mkono
3. mwanga
ukinunua mic ya nje na tripod utakuwa umeimprove sana kazi hata kwa simu.
So unapatikana wapi mkuuNjoo nikuuzie hii Nimpya kabisa from Denmark NICAMERA PIA UNAWEZA KUWEKA LINE ZAKO UKATUMIA INTERNENT 'UKADOWNLOAD AU KUTUMIA KAMA SIM 'unapata BETRI 2 MPYAA NA NABEGI ZAKE TSH 250View attachment 1515614View attachment 1515615View attachment 1515617View attachment 1515616View attachment 1515618View attachment 1515619
M nipo dar es salaam 'mbez namba yangu nichek 0693798558So unapatikana wapi mkuu
Hello Chief-Mkwawa, nisaidie kujua printer nzuri kwa ajili ya picha na projector ya kuonyeshea mpira. Ipi nzuri SONY au EPSON.mkuu simu zinatoa picha nzuri kuliko digital camera, ushauri ongeza ongeza kidogo kwenye laki 4 mpaka 6 dslr used zinapatikana. otherwise hio laki 3 nunua tu simu flagship ya zamani.
chengine kinachofanya simu isitoe video nzuri za harusi ama birthday ni
1. microphone mbovu za simu
2.mitikisiko ya mkono
3. mwanga
ukinunua mic ya nje na tripod utakuwa umeimprove sana kazi hata kwa simu.
Hello Chief-Mkwawa, nisaidie kujua printer nzuri kwa ajili ya picha na projector ya kuonyeshea mpira. Ipi nzuri SONY au EPSON.
Projector nzuri kwa mpira hasa mchana angalia wingi wa lumens, ukikosa kabisa angalau lumens 3000 ila ikizidi hapo ni vyema zaidi zipo hadi lumens 10,000 na kuendelea. jinsi projector itakavyokaa mbali na kumulika pakubwa ndio jinsi utavyohitaji lumens nyingi.Hello Chief-Mkwawa, nisaidie kujua printer nzuri kwa ajili ya picha na projector ya kuonyeshea mpira. Ipi nzuri SONY au EPSON.
Hivi vifaa vinapatikana kwa Tshs ngapi mkuumkuu simu zinatoa picha nzuri kuliko digital camera, ushauri ongeza ongeza kidogo kwenye laki 4 mpaka 6 dslr used zinapatikana. otherwise hio laki 3 nunua tu simu flagship ya zamani.
chengine kinachofanya simu isitoe video nzuri za harusi ama birthday ni
1. microphone mbovu za simu
2.mitikisiko ya mkono
3. mwanga
ukinunua mic ya nje na tripod utakuwa umeimprove sana kazi hata kwa simu.
Inategemea na quality hata ukitaka vya 30,000 vipo.Hivi vifaa vinapatikana kwa Tshs ngapi mkuu
Hello Chief-Mkwawa, nisaidie kujua printer nzuri kwa ajili ya picha na projector ya kuonyeshea mpira. Ipi nzuri SONY au EPSON.
Laki5Bei gani mkuu!