prof Mose
Member
- May 10, 2019
- 37
- 28
Samahani wanaJamiiForums nipo kitaa maeneo fulani jijini Dodoma. Kwa muda mrefu nimekuwa nikijishughulisha na upigaji picha kwa kutumia simu yangu na mpaka Sasa nimefikia hatua ya kutengeneza jina.
Sasa tatizo ni kwamba imekuwa ni vigumu kwenda na simu kupiga picha kwenye matukio Kama harusi, ubatizo n.k Hivyo kwa kuwa sijawahi kumiliki camera sijui hata Bei yake na nipo kijijini naomba wenye uzoefu wanisaidie bei rahisi za camera ndogo walau ambayo haizidi 300k na wapi zinapatikana kwa Dodoma.
Natanguliza shukrani.