Umri wangu Ni miaka 30
Mama yangu aloshafariki miaka kama Sita iliopita. Baba yangu yupo lakini anaishi na mam mwingine ambaye amezaa nae watoto watatu. Huyu mama hanitaki na wala hataki hata kunisikia sababu siijui. wao wanaishi dar ila Mimi nimekuja Arusha ili kuhangaika na maisha. Naombeni msaada ndugu zangu