Msaada: Nani ni tatizo ndani ya CCM?

Msaada: Nani ni tatizo ndani ya CCM?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Chama chetu cha Mapinduzi sasa hakipendwi kama mwanzo wake. Hakiaminiwi kirahisi hata pale kulikokuwa na ngome za chama chetu kama Lindi na Mtwara.Kinalalamikiwa;kinazidi kuchukiwa. Yawezekana kuna tatizo la ki-mfumo...mazoea. Lakini,wapo watu ndani ya chama chetu ambao ndio walezi wa mfumo huo unaosawajisha heshima ya chama chetu. Mkiwa kama watanzania wenye vyama na msio na vyama,ni nani hasa ni tatizo katika CCM yetu? Kwanini? Tusaidieni ili tujirekebishe na kuimarisha chama chetu. Karibuni waungwana! Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
 
Mzee tupa-tupa msitafute mchawi, kundi zima lina matatizo kuanzia wananchama wao hadi viongozi wa juu- ni janga.
 
Mwigulu Nchemba ndiyo tatizo. Hivi hizi sare mpya za ccm zimebuniwa lini na nani kaziidhinisha ndani ya chama? Taratibu kwa matatizo ya huyu Bwana mtazamo wa ccm kutoka nje kinaonekana kama chama kinachoendelea na uhamasishaji na maandalizi ya kukuza vulugu.
attachment.php

Tatizo la kwanza kabisa la CCM ni kukataa kukubali ukweli. Kwa sasa hali ilivyo si kama mwanzo, CCm wangekubali kuwa kwa sasa baada ya mfumo wa vyama vingi kuanzishwa ilibidi kwenda na wakati, ilibidi kubadili mtindo wa ufanyaji kazi. Ile dhana kuwa wao ndio mwisho wa maamuzi na ndio watawala ilibidi wai phase out, wanabidi wakubali kubadilika na kutawala kutokana na mazingira. Na pia wasidhanie kuwa TZ ni mali yao binafsi, kuwa siku CCM isipotawala basi nchi inakufa. Ni mawazo potofu na yanawafanya wawe na maadui wengi zaidi kuliko marafiki.
 
CCM ikiwa kama MFUMO ndio tatizo,Mfumo ukiwa mbovu huzaa Viongozi wabovu pia hata ukiwa mtu msafi namna gani ukishaingia CCM lazima nawe uchafuke dawa hapa ni kuundoa huu MFUMO mbovu (CCM) na kuusimika MFUMO mpya (CHADEMA)
 
CCM nzima ni mbovu,kuna kila dalili kuwa CCM haiwezi kusaidia tena wananchi milioni 45 watanzania,hawana software ya kutatua matatizo,hata wale wanaona wako vizuri kwenye chama ni wale ambao si mafisadi,lkn na wao pia hawana uwezo wa kutatua matatizo ya watu,Kwa hiyo kwa kifupi hakuna anayefaa,hata kama kuna wachache lazima pia wafundishwe software.Magufuli anawezafundishwa software na CHADEMA na akamudu lkn pia mi naona ni mzee
 
Chama chetu cha Mapinduzi sasa hakipendwi kama mwanzo wake. Hakiaminiwi kirahisi hata pale kulikokuwa na ngome za chama chetu kama Lindi na Mtwara.Kinalalamikiwa;kinazidi kuchukiwa. Yawezekana kuna tatizo la ki-mfumo...mazoea. Lakini,wapo watu ndani ya chama chetu ambao ndio walezi wa mfumo huo unaosawajisha heshima ya chama chetu. Mkiwa kama watanzania wenye vyama na msio na vyama,ni nani hasa ni tatizo katika CCM yetu? Kwanini? Tusaidieni ili tujirekebishe na kuimarisha chama chetu. Karibuni waungwana! Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.

Wanaccm na washabiki wote wa ccm ni tatizo na uwepo wa ccm sasa unamadhara zaidi kuliko ingekufa kabisa. ccm haitakiwi na haikubaliki na haiaminiki tena.
 
Ccm has systemic disease,but also frontline person like Nape and Mwigulu,they don't deserve as political party brand at all.
 
Kila kigogo wa CCm ni mchafu, wanatofautiana tuu extent ya uchafu.
Unategemea nini hapo?
 
Tatizo NI KIZAZI CHA PANYA Baba Mwizi, Mtoto Mwizi, Mama Mwizi, Mjukuu Mwizi, Babu Mwizi. Wenye kuibiwa wameshtuka.
 
Mwingulu, Nape, Sitta, Makinda na Mizengwe Punda
 
Tatizo kwenye ccm ni ugaidi wa chadema ambapo wanachama wake wanamwagiwa sana tindikali.
 
CCM nzima ni mbovu,kuna kila dalili kuwa CCM haiwezi kusaidia tena wananchi milioni 45 watanzania,hawana software ya kutatua matatizo,hata wale wanaona wako vizuri kwenye chama ni wale ambao si mafisadi,lkn na wao pia hawana uwezo wa kutatua matatizo ya watu,Kwa hiyo kwa kifupi hakuna anayefaa,hata kama kuna wachache lazima pia wafundishwe software.Magufuli anawezafundishwa software na CHADEMA na akamudu lkn pia mi naona ni mzee
Mkuu ya kinondoni yamekushinda.
 
Back
Top Bottom