Nahitaji viatu dzain ya converse vyenye rangi za chadema...
Nenda pale Kinondoni Togo street, Makao makuu ya Chadema utavikuta.
Ninavyo...sema sina uwezo wa kuattach picha niko mbali na Lap
Nenda pale Kinondoni Togo street, Makao makuu ya Chadema utavikuta.
Ninavyo...sema sina uwezo wa kuattach picha niko mbali na #Lap
Bei yake ikoje mkuu
Lap=flat area between waist and knee
Mwaka Jana nilinunua 35,000 ila sasa sijajua kama vimepanda au vipi
Na kwa tulio huku kunakoitwa mikoani tunavipataje
Nenda kwenye website ya M4C utapata details zao