nakukubali chief...sana sana tanzania kwenye gold tusha chafuka sana nje tunaonekana wote wapigaji na serikali imewakingiaa kifua wapigaji mpaka sasaKama ni mnunuzi Genuine nashukuru mrangi,tabu ya biashara hii ina wapigaji wengi ajabu!ndugu yangu aliniletea wateja toka china,sasa kwa kuwa si mzoefu ilibidi niulize wenyeji kwenye biashara hii....lahaula wakataka kuwatapeli wachina wangu tukawatoa mbio na mikwaju.....inahitaji umakini sana kwa kweli!
OK mliyatoa wapi??
kilosa kuna sehemu moja panaitwa unone juu huko porini.... na kuna sehemu moja huko huko kama ukiwa ilonga ukiangaliaaa juu kuliaa kuna milima kule kuna sehemu panaitwa lumbiji nilikuwa nachimbisha
uko unanunua kwa scale au?? na wewe ulinunua tshs ngapi na ukapata tshs??
ROD LIGHT AMASIST RED GARNET ROS GARNET GREEN TORMARINE nk
Msaada kwa anayejua soko la quartz,opal kwa dar na sehemu nyingine yeyote na bei ziko vipi labda?
gram moja ya red garnet unanunua kiasi gani na unauza kiasi gani??
tembelea www.karatbars.com kujisajili bure na chagua affiliate halafu tumia user name ya bikogwa na ID 12485228
kununua maranyngi haileweki ila mwakajana niliuza kwa gramu sh 20alfu.
Inahusika na nini?
kiongozi tembelea www.karatbars.com utaelewa nini wanafanya
buyers wakubwa wa quartz ni wachina ila kwa hao wanunuzi hawana uhakika sana? yupo mmoja anaitwa shivo nafikiri atakuwepo, quartz yako ni ya crystal au blocks,na kuhusu opal hiyo ni opal ya wapi kigoma au hizi za kawaida...za morogoro
Anayejua soko la quartz na opal kwa dar au sehemu yeyote msaada tafadhari
We ni muelewa sana wa hii biashara ya madini. Kuna eneo moja lipo huko Lindi linanihusu na lina gemstone mbalimbali ambazo sizifahamu vema. Ni mtaji kiasi gani unahitajika kuchimba? Au kuna watu ambao ninaweza kuingia nao mkataba wachimbe na kugawana kwa maelewano maalum na wanapatikana wapi?nenda kwa malapa uliziaa ofisi yake iko wapi....umfate kama mawe yako ni mazuri mtafanya kazi au nenda nyuma ya bestbite kinondoni kuna mthailand mmoja anaitwa prayun kwake kuna wanunuzi wengi tu wanafikia kutoka thailand wananunua madini....kazi kwako