Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,019
- 580
Una bei gani mkuu. si unajua town hapa
Ebo! Simtaki, namhitaji. Tumepoteana siku nyingi mno na asa nimeanza kumkumbuka. Kumwona nikiwa kwenye daladala ndio kabisa kumeongeza kasi ya kutaka kuonana naye. Ni rafiki yangu na sina tatizo naye. Kwanza jamaa mwenyewe yule si mgomvi kiasi cha kuhofia kuniambia. Labda kama kabadilika. N mbali, tangu 1982!!! Najua pa kuanzia ni hapa.unamtaka wa nin?
Haha after 13 Years bila mrejesho😀Ulishampata?
Hivi kwann ulimtukana mwenzio ?Two idiots, Kila la kheri
Ila watu wana ujasiri. utamtukanaje mtu humjui?Hivi kwann ulimtukana mwenzio ?
Hao ndo watanzania mzee wangu.Ila watu wana ujasiri. utamtukanaje mtu humjui?
Am also curious to know Mwamundela upoo?Hivi kwann ulimtukana mwenzio ?
Mkuu ulishampata????Ebo! Simtaki, namhitaji. Tumepoteana siku nyingi mno na asa nimeanza kumkumbuka. Kumwona nikiwa kwenye daladala ndio kabisa kumeongeza kasi ya kutaka kuonana naye. Ni rafiki yangu na sina tatizo naye. Kwanza jamaa mwenyewe yule si mgomvi kiasi cha kuhofia kuniambia. Labda kama kabadilika. N mbali, tangu 1982!!! Najua pa kuanzia ni hapa.
Geoff, au una mashaka gani nami au naye? JF si mojawapo ya raha yake ni kuwasiliana marafiki? Majina yenyewe sio rahisi kujua hapa, labda ni wewe? Nimeeleza kwa kina, kama ungekuwa ni wewe bila shaka ungevuta picha na ukakumbuka. Hata kama nitasema tuonane wapi kama sio wewe nitajua ntu, maana jamaa hajabadilika sana, hata mimi atanitambua upesi sana. Ni mtani wangu lakini tuliishi kama ndugu zaidi ya rafiki. JKT ilitutawanya.
Leka
Hivi kwann ulimtukana mwenzio ?
Ila watu wana ujasiri. utamtukanaje mtu humjui?
Hao ndo watanzania mzee wangu.
Am also curious to know.
Ni three idiots, au yeye ndo watatu?[emoji16] Nadhani hajamtukana ila alikuwa anafanya reference ya film ya 'two idiots'. Kwamba scenarios zinafana..
Sijatukana mkuu. Kuna movie inaitwa three idiot, inafanana na kisa hikiHivi kwann ulimtukana mwenzio ?
Umeelewa tofauti mkuu,Ila watu wana ujasiri. utamtukanaje mtu humjui?