Upatikani nilikuwa nataka nikuunge na ukoo wa kikotiHabari wana JamiiForum, naitwa Christina umri miaka 28. Namtafuta baba yangu mzazi kwani toka nimezaliwa sijawahi kumuona zaidi ya kuambiwa alipokuwa akiishi na mama yangu alishafariki lakini kabla ya kufariki nikiwa na miaka 12 alinambia kwamba baba yangu alimpa ujauzito wakati akiwa anafanya kazi kama house girl mtaa wa Keko Machungwa kwenye kota na majina sina hakika ila kumbukumbu zangu alinitajia kuwa ni Nyalusi Kikoti. Naomba kwa yeyote ambae atakuwa anafahamiana au anaweza kuniunganisha nae anisaidie kwani haja yangu kubwa ni kumfahamu baba yangu na si vinginevyo. Kwa mawasiliano kuhusiana na jambo hili namba yangu ni 0758905911 hii namba inapatikana whatsapp tu. Mungu awabariki
Amesema inapatikana whatuspUpatikani nilikuwa nataka nikuunge na ukoo wa kikoti
"Kikoti" ni wahehe
Kamwene..!
wakina kikoti ila wapo wengi hapa mjini
Pia wengine mi nijuavyo kina kikoti ni wafipa wa mkoani Rukwa"Kikoti" ni wahehe
Kamwene..!
wakina kikoti ila wapo wengi hapa mjini
the world is small watu hukutana ...yani acha tu..tena katika hali ya ajabu ajabu tu hukuitarajiaHii inanikumbusha dogo mmoja aliwahi kuwauliza ndg wa mama yake alipo baba yake. Ndg wa mama wakaona labda ni kwa sababu ya ugumu wa maisha kijijini, wakaamua kumpeleka mjini.
Huku mjini walimpeleka shule. Huko shuleni alikutana na kijana wakawa marafiki na hivyo akawa anaenda nae kwao. Siku moja walimkuta mama wa rafiki yake, akawa anamwangalia sana yule kijana. Hatimaye alimuuliza jina lake na asili ya baba na mama yake. Dogo akaeleza asili ya mama yake na jina lake ila baba alisema hamjui hana historia yoyote juu ya baba.
Mama wa rafiki yake aliposikia jina la mama wa dogo, akajua dogo ni motto wa kaka yake, kwani alimpa mimba mwanafunzi akiwa kidato cha pili miaka ya 1988 na hasa jinsi dogo alivyokuwa anafanana na kaka yake.
Kwa mtindo huo dogo aliweza kukutana na baba yake.
Mungu huwa akipanga jambo, litawezekana, hivyo nawe jitahidi utampata baba siku moja
Wasambaa pia kuna akina kikoti"Kikoti" ni wahehe
Kamwene..!
wakina kikoti ila wapo wengi hapa mjini