Siku za ajabu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 1,369
- 987
Daah ndugu yangu hyo mtanga cha kufanya hapo kama mama yako mnywaji wa pombe ni rahs kumjua akilewa uliza kwa ujanja,nani rafiki wa mama yako ulizia best friend then bibi au babu au jirani wa siku nyingi mama wa makamu dada lazima hapo upate jibu.Honestly...cjawahi pata details khs yy alikuwa anafny shughuli gn zaid ya hzo hapo
Hii thread nimeisoma na inanifanya niamini hata wewe siyo mtu smart vya kutosha! Jamii zetu za kiafrika zilivyo na extended family umekosa mtu kabisa kwenye ukoo wenu unayeweza kumtumia kupata info zaidi? Kwa kutumi marafiki wa mama yako wa sasa na wa zamani umeshindwa kupata info zaidi? Kwa kupitia sehemu mama yako alikoishi na kufanya kazi umeshindwa kupata info zaidi? Jaribu kuulizia maeneo niliyokuambia nina uhakika utapata ya zaidi.Ni sawa lakini miaka mingi tangu nianze kujitambua nmekuwa nikifanya hvyo bilaa mafanikio, pili hakuna ndugu yyte upande wangu anayeonessha kuijua au kushirikiana na mimi katika hili
Mchango wangu hapo juu nimemwambia nadhani hayupo smart kwenye hii issue. Hajafanya research ya kutosha. Mitandao ya familia na marafiki ilivyo mipana Afrika akose hata mtu mmoja wa kumpa habari zaidi?Daah ndugu yangu hyo mtanga cha kufanya hapo kama mama yako mnywaji wa pombe ni rahs kumjua akilewa uliza kwa ujanja,nani rafiki wa mama yako ulizia best friend then bibi au babu au jirani wa siku nyingi mama wa makamu dada lazima hapo upate jibu.
Mnamhukumu tu mdingi bila kujua, vipi kama mama aliishia na ujauzito mzee hajui??? Vipi kama walivotengana mama alidanganya mtoto kadanja ili kupoteza ukaribu???yote yanawezekana amtafute tu ataujua ukweli kisha afanye uamuzi sasa.Wa nini sasa akafie mbali huyo baba
Vipi kama baba hajui kama alimpa mtu ujauzito,.wanawake tuna siri.Mkuu kama maisha yanenda wachana na huyo dingi. Miaka 23 bado unahangaika kumtafuta?
Fanya mambo yako, achana kupoteza muda kwa mambo yasiyo ya msingi.
Mimi kama ni kumtafuta ningekuwa namtaguta ili nimuondoe duniani sio kwa wema.
Samahani kumbe yule wa kwangu niliyekuelekeza yeye akikuwa anaitwa Abbasi Sembeyu na siyo "Sendeu"pole kwa mkanganyiko!!Ok thanks... ntashukuru sana utanichek kwa hiyo inayoishia 602 ndo nimetoka nayo
Kuna vitu vinaumiza havifai hata kuvifanyia utaniNafikiri mimi ni baba yako embu njoo hapa morena hotel room namba 214 tuonane
Maneno miiiiiiingi nilifikiri umeuona sendeu, na mikwara kibao ya busara kumbe chenga tu.Kwanza nakupa pole sana.. pili, umenitoa machozi gunia ndugu yangu najua unavyo umia kwa maandishi yako uloandika kwa msisitizo na huzuni moyoni... ongea na mama yakp kwa upole kwani hawezi kukuficha yoooteee mpe moyo na mpigie magoti ukiwa na huzuni huuu kma uloandika hapa huku ukitokwa machozi mengi.. nafikiri kwa cc wazazi huwa tuna huruma fulani...nn nakwambi hivyo walau wewe una mtafuta baba ila kuna wengine wasichana hawanaga hiyoo.. fanya kwa upole na mtangulize muumba wako asimamie hilo. Utafanikiwa.
Kweli kabisa, alafu mtu anasema mtangulize mungu, kwani siku zote hizo alikua anamtanguliza shetani??Kuna watu wanachekesha na ushauri wao,mtu amekaa na mama yake zaidi ya miaka 20 ameshindwa kumpa hizo details then mnamshauri ambembeleze mama!
Yeye ndio anamjua mama yake na ndio maana amekuja humu baada ya kushindwa kumshawishi na kuna wale wanamwambia achana naye,jambo kama halijakukuta ni rahisi kuhukumu,sidhani kama anamtafuta ili amuombe msaada ila anataka kumjua ili amfahamu na aondoe hilo doa la kutomjua baba.
Kuna rafiki yangu baba yao alikua na mtoto nje na hakuwaambia ila jamaa alikuja akiwa mtu mzima baada ya kutafuta details za baba na akakaa kama masaa 5 tu baada ya kumuona mzee na family yake akaondoka na hakuacha details zozote alizuga atakuja tena.
Mpaka leo ni zaidi ya miaka 8 hawajui alipo na mzee wao alishafariki
Tatizo katika suala la kutengena wazazi wengi akili inafikiria baba ndo mwenye kosa na tunamtetea mama bila kutafuta ukweli upo wapiMkuu kama maisha yanenda wachana na huyo dingi. Miaka 23 bado unahangaika kumtafuta?
Fanya mambo yako, achana kupoteza muda kwa mambo yasiyo ya msingi.
Mimi kama ni kumtafuta ningekuwa namtaguta ili nimuondoe duniani sio kwa wema.
Utajuaje kama yy huko anahangaika pia kuwatafuta usipende kulalia upande mmojaWa nini sasa akafie mbali huyo baba
una akili sana.Mnamhukumu tu mdingi bila kujua, vipi kama mama aliishia na ujauzito mzee hajui??? Vipi kama walivotengana mama alidanganya mtoto kadanja ili kupoteza ukaribu???yote yanawezekana amtafute tu ataujua ukweli kisha afanye uamuzi sasa.
Daah ndugu yangu hyo mtanga cha kufanya hapo kama mama yako mnywaji wa pombe ni rahs kumjua akilewa uliza kwa ujanja,nani rafiki wa mama yako ulizia best friend then bibi au babu au jirani wa siku nyingi mama wa makamu dada lazima hapo upate jibu.
Pole sana dada. Niliwahi kusikia Serikali ilikuwa mbioni kuanzisha mradi wa kupima na kutunza DNA za kila mwananchi for future reference kwenye maujinga kama haya! Haiwezekani watu wakazaana na kutelekeza ovyo tu kama wanyama pori.kuna muda nahisi kuna kitu nafichwa kitu sasa ni mtu mzima nahitaji kufahamu ukweli ambao najua siwezi upata kwa mama zangu maana ni kipindi kirefu nimekuwa nikiungoja na kuutafuta
Samahani kumbe yule wa kwangu niliyekuelekeza yeye akikuwa anaitwa Abbasi Sembeyu na siyo "Sendeu"pole kwa mkanganyiko!!