Msaada: Namtafuta Baba yangu

Msaada: Namtafuta Baba yangu

Joined
Sep 21, 2018
Posts
15
Reaction score
24
Habari wana-JamiiForums?

Kwa jina naitwa Shamsa namtafuta baba yangu mzazi ambaye tulipotezana miaka 23 iliyopita sikuwahi bahatika kumfahamu wala kuikariri sure yake sababu aliondoka ningali bado mdogo sana.

Kwa taarifa nilizozipata juu juu baba huyo alikuwa akifahamika kwa jina la "Abbas Sendeu" ingawa bado sina uhakika sana kuhusiana na hilo jina la Sendeu ila kiasili alikuwa ni mtu kutoka Tanga japokuwa sikubahatika kujua kabila lake kabisa,, walikutana na mama yangu ambaye anaitwa Salama ambaye pia aliwahi kusoma chuo cha biashara cha Shinyanga na katika historia yao fupi waliwahi kuishi Mwanza na Arusha kabla ya kutengana na mama yangu kuhamia Dodoma ambapo ndio makazi yetu mpaka sasa.

Tafadhali! popote upatapo ujumbe huu naomba usiache kunitafuta baba yangu maana natamani kuijua true identity yangu....pia ombi langu kwa wanajamii forum, yoyote mwenye taarifa inayoweza kunisaidia kupatikana kwake na inayoshabiihana ama kurandana na majina au historia tajwa hapo naomba asisite kunifahamisha kwa namba zifuatazo...0754638458 na 0756289602.

Mwisho naomba kutoa angalizo au tahadhali naomba namba zilizo wekwa hapo juu zitumike kwa ajili ya matumizi yaliyotajwa hapo juu.
 
Ndugu Wengine Wa Mama Nao Hawajui Lolote
Ama Vp
kuna muda nahisi kuna kitu nafichwa kitu sasa ni mtu mzima nahitaji kufahamu ukweli ambao najua siwezi upata kwa mama zangu maana ni kipindi kirefu nimekuwa nikiungoja na kuutafuta
 
pamoja angalizo kwenye aya ya mwisho kupitia namba hizo unaweza pata mume,yote kwa yote iweje mama yako hasijue jina la baba yako kamili ilikuwaje?
Mimi pia sijajua pia hiyo taarifa ya majina yake hakuwahi kunipa mama yangu ni udadisi wangu tu mimi mwenyewe
 
Shamsa jaribu kukaa na mama vizuri kwa busara zote muulize kwa upole juu ya baba yako nini kilitokea na yupo wapi, usifanye hivi behind her back utamuumiza sana mama yako maana yeye ndiye amehangaika na wewe kipindi chote hicho katika malezi mpaka umekua na kufikia hapo,tulia na mama i believe maisha yataendelea tu maana hata huyo baba unaemtafuta angekua anakupenda angekutafuta kabla yako,ni ushauri tu
 
Habari wanajamii forum? Kwa jina naitwa Shamsa,namtafuta baba yangu mzazi ambaye tulipotezana miaka 23 iliyopita sikuwahi bahatika kumfahamu wala kuikariri sure yake sababu aliondoka ningali bado mdogo sana.

Kwa taarifa nilizozipata juu juu baba huyo alikuwa akifahamika kwa jina la "Abbas Sendeu" ingawa bado sina uhakika sana kuhusiana na hilo jina la Sendeu ila kiasili alikuwa ni mtu kutoka Tanga japokuwa sikubahatika kujua kabila lake kabisa,, walikutana na mama yangu ambaye anaitwa Salama ambaye pia aliwahi kusoma chuo cha biashara cha Shinyanga na katika historia yao fupi waliwahi kuishi Mwanza na Arusha kabla ya kutengana na mama yangu kuhamia Dodoma ambapo ndio makazi yetu mpaka sasa.

Tafadhali! popote upatapo ujumbe huu naomba usiache kunitafuta baba yangu maana natamani kuijua true identity yangu....pia ombi langu kwa wanajamii forum, yoyote mwenye taarifa inayoweza kunisaidia kupatikana kwake na inayoshabiihana ama kurandana na majina au historia tajwa hapo naomba asisite kunifahamisha kwa namba zifuatazo...0754638458 na 0756289602.

Mwisho naomba kutoa angalizo au tahadhali naomba namba zilizo wekwa hapo juu zitumike kwa ajili ya matumizi yaliyotajwa hapo juu.
Njoo na ID yako ya zamani maana umeandika kama mwenyeji wakati umejiunga leo...Terehe 21 Sept 2018.
SHAMSAFORD.jpg
 
Back
Top Bottom