MSAADA: Namna ya kuwezesha mirroring/casting kwenye simu

MSAADA: Namna ya kuwezesha mirroring/casting kwenye simu

magweto

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
501
Reaction score
3,621
nina simu aina ya samsung galaxy grand prime plus ambayo haina ile built in smart watch,nimejaribu kudownload app zaidi ya kumi tofautitofauti hakuna inayokubali kuconnect na tv yangu

tv yangu sio smart tv lakini nimeunganisha na kifaa kinaitwa Anycast lakini nikitumia simu zenye built in smarwatch inakubali,ni app gani nzuri inaweza kunisaidia au hakuna namna zaidi ya kutafuta simu yenye uwezo

natanguliza shukrani
 
Tumia Dlna kama njia zote zimeshindikana.

1.kwenye any cast switch iende dlna na sio miracast

2. Kwenye simu download app za style hii

Halafu fungua hio app tafuta video kisha cast utaziona any cast ichague video itaplay kwenye tv.
 
hii anycast naona ina option mbili tu ambazo ni miracast na airplay,au kuna kitu nakosea
 
Back
Top Bottom