Msaada:Namna ya kuweka picha

mwana ally

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
363
Reaction score
119
Wajuzi wa hizi teknolojia nisaidieni namna ya kuweka picha humu JF . inawezekana maelezo yalishatolewa huko mwanzoni ..nami sijakutana na huo uzi( mi bado mgenii) inawekana lipo jambo ambalo ukiweka na picha inaleta maana zaidi au uelewa zaidi.nasubiri maelekezo
 
Ukiwa kwenye nafasi ya kupost juu zinaonekana icon nyingi kwa mfano za kufanyia formatting text yako, na nyingezo. Tembeza curser hadi uifkie icon ya kuinsert Image - bonyeza. Fuata maelekezo ya kubrowse.
 
hii post iliwekwa kitambo kwetu haikupatiwa jibu hope nlichokifanya n sahihi majibu sahihi yamepatikana,server cjui nimeijazaje!?
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa kwenye nafasi ya kupost juu zinaonekana icon nyingi kwa mfano za kufanyia formatting text yako, na nyingezo. Tembeza curser hadi uifkie icon ya kuinsert Image - bonyeza. Fuata maelekezo ya kubrowse.

Asante kwa maelekezo mkuu. Je hiyo process ni kwa simu...au kwa Computer
 
Asante kwa maelekezo mkuu. Je hiyo process ni kwa simu...au kwa Computer

Kwa komputa. Lakini bila shaka kwenye simu pia au kuna ki icon kinachoruhusu kuweka picha, au ukibonyeza options utaona insert photo or image - halafu inakuongoza kubrowse.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…