Msaada namna ya kutumia Youwave kwenye PC

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
13,099
Reaction score
38,708
wakuu habari zenu? kama kichwa cha habari kinavyosema nimeshindwa kutumia youweve kwenye computer msaada tafadhali.
 
unaenda google play store hapa unacopy ya link unayotaka kuitumia then unaipaste hapa ukisha download unasave kwenye local disk c kisha unafunga youwave, unaifungua tena unaenda kwenye file unainstall app
 
Asante sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom