Msaada: Namna ya kutumia internet bure

Msaada: Namna ya kutumia internet bure

sio lazima ukeshe, jiunge kifurushi cha usiku panga downloads zako zote torrent au kama ni idm eka queue ikifika saa 6 ianze kudownload. connect modem halafu lala ukiamka asubuhi zimemaliza. mchana unakuwa unaperuzi tu.
nimekupata mkuu ila vifaa vyetu sio bora kihivo kwan bila kuisimamia dowload ukiamka unakuta imefafail. hivo vitu vingine kama queque sivijui kwa kwel
 
Back
Top Bottom