Freewine
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 257
- 211
Samahani wadau Nina mdogo wangu yupo chuo, now wanaandaa research.
Kaka yake ameniona muda mrefu natumia computer Sasa anadhani Kila kitu kinachohusu computer Mimi nakifahamu, japo nimeshamsaidia Sana kuhusu kutumia pc.
Sasa anaomba nimsaidie namna ya kutengeneza TOC ya research yake Ili muda so mrefu ai submit.
Nimejaribu kusoma maelekezo ya namna ya kudeal na TOC lakini naona sipati kitu (vitu vingine vinaitaji utaalamu wa ki IT)
Naomba msaada kwa anaye weza. Thanks jf jamii moja!!