Msaada-namna ya kurudisha account yangu ya Twiter

Msaada-namna ya kurudisha account yangu ya Twiter

ANT DRUGS

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
5,231
Reaction score
6,472
Poleni na msiba wa kiongozi wetu mpendwa wakuu.Nmefungua account juzi na leo nashangaa naingia wananiambiwa account yangu imezuiliwa nikiangalia hakuna content mbya niliyopost.

Nawezaje kuirudisha?Nmejaribu kucreat account nyingne naambiwa namba yangu hairuhusiwi kucreat account. Whts wrong?
 
Poleni na msiba wa kiongozi wetu mpendwa wakuu.Nmefungua account juzi na leo nashangaa naingia wananiambiwa account yangu imezuiliwa nikiangalia hakuna content mbya niliyopost.Nawezaje kuirudisha?Nmejaribu kucreat account nyingne naambiwa namba yangu hairuhusiwi kucreat account. Whts wrong?.
Angalia kwenye inbox ya email zako. Kuna email itakuwa inaeleza nini tatzo
 
Twitter bado ipo blocked. Washa VPN
Nishawasha mkuu sema nikitaka ku LOG IN naambiwa acc imefungwa,nikijaribu kucreat nyingne wanasema no yangu hairuhusiwi.
 
Nishawasha mkuu sema nikitaka ku LOG IN naambiwa acc imefungwa,nikijaribu kucreat nyingne wanasema no yangu hairuhusiwi.
Umeangalia kma kuna email yoyote kutoka twitter
 
Bado.Kwenye email yangu hamna ujumbe wowote.My account is restricted

Hiyo account imezuiwa, ingia twitter help center uka appeal watairudisha japo inawachukua muda kidogo kuirudisha. Afu pia twitter hawaruhusu kutumia namba ya simu kwa akaunti zaidi ya moja, ukilazimisha wanakublock. Kama unatengeneza akaunti nyingine tumia namba nyingine ambaya haijawai tumika twitter.
 
Nadhan hyo ndo sababu maana hii no nishacreat acc zaidi ya mbil.Sasa hapo pagumu.
 
Hivi naweza kutumia namba ya mtu mwingne kucreat account?
 
Mi account ya twitter yaan leo na kuifuta wamafuta, nimetaka kufungua acc mpya, nikaambiwa sorry tutafute Wakati mwingine nyinyi mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom