sm yangu hainiruhusu kuinstall appl zaid na bado nina space ya kutosha kwenye cd card nataka niiroot safely tatzo sjui procedure sahihi! naombeni msaada kwa anayejua.
brother, humu upo uzi wenye coment nyng sana. nadhan utakusaidia vyema kuliko leo kuweka uzi mpya ambao tayar upo.
kuliko kusubir watu ni bora ule vumbi kwa kupekua amafaili humu hadi uupate.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.