Msaada.Namna ya kupata apple verification code

Oxpower

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,179
Reaction score
3,103
Habari waungwana.

Kuna ipad dada angu alikua anaitumia,na aliko saiz hapatikani muda wote.

Shida imekuja katika kutumia,nikitaka kulog in kwenye apple id inareques verification code .na hiyo code ikitumwa anatumiwa yeye.sasa mara nyingi tunapishana nae maana tunawaailiana kwa watsap tu.

Naomba msaada namna ya kupata hiyo verification code
 
Kawaida hutumwa kwenye e-mail. Mwambie akupe email account yake kama mnapishana muda. Vilevile the more ukijaribisha ukashindwa Apple wataisuspend au hata Ku_icloud. Patana muda sahihi wa kuifungua na Hugo Dada yako. Hila kuna jamaa mmoja anaweza kukusaidia kama una laptop/PC na iTunes cable na bundle za kutosha za internet anakufungulia
 
Sawa chief.naomba niunganishe nae ili anisaidie
 
Habari waungwana.

Kuna ipad dada angu alikua anaitumia,na aliko saiz hapatikani muda wote.

Shida imekuja katika kutumia,nikitaka kulog in kwenye apple id inareques verification code .na hiyo code ikitumwa anatumiwa yeye.sasa mara nyingi tunapishana nae maana tunawaailiana kwa watsap tu.

Naomba msaada namna ya kupata hiyo verification code
Hata uitestore still haitosaidia la msingi mtafute akupe verification code ingia kwenye icloud ubadirishe namba inayotakiwa kupokea verification code uweke yako basi.
 
Back
Top Bottom