Msukule Msafi
Member
- Oct 10, 2018
- 55
- 48
wakuu habari zenu ....... Nadhani heading inajieleza naomba msaada namna ya kupandisha script nilonayo kwenye hosting acc kwa ajili ya website kwenda hewani msaada tafadhali nawasilisha
Kwanza ushalipia hosting space?wakuu habari zenu ....... Nadhani heading inajieleza naomba msaada namna ya kupandisha script nilonayo kwenye hosting acc kwa ajili ya website kwenda hewani msaada tafadhali nawasilisha
Kama umelipia domain na hosting plan, tumia FPT client softwares kama Filezilla ku_upload site yakowakuu habari zenu ....... Nadhani heading inajieleza naomba msaada namna ya kupandisha script nilonayo kwenye hosting acc kwa ajili ya website kwenda hewani msaada tafadhali nawasilisha
ingia www.000webhosting.commwenye muda naomba anisort nione hata ikiwa kwa free hosting then nitalipia baada ya kuona output nawasilisha