Msaada namna ya kumpata mkuu wa mkoa

Msaada namna ya kumpata mkuu wa mkoa

Joined
Aug 12, 2013
Posts
24
Reaction score
6
Wanajamvi hii sio utani naomba msaada kwa mtu anayejua njia (Protocally) rahisi ya kumpata mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mh. Paul. Nnawazo nadhani yeye anaweza zaidia kupush.

Usilitazame hili kama utani.
 
Nenda ofisini kwake ulizia katibu muhtasi wake halafu mueleze shida yako yeye atamtaarifu ujio wako na endapo atakuwa yuko free utaruhusiwa kuingia ili uonane nae.
 
Back
Top Bottom