Msaada: Namna ya kufika Kunduchi beach KKKT, natokea Tabata

Msaada: Namna ya kufika Kunduchi beach KKKT, natokea Tabata

Void ab initio

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
5,723
Reaction score
5,662
Wakuu habari za muda huu,

Natokea Tabata nataka kufika Kunduchi Beach KKKT.

Msaada wa kuelekezwa ili niweze kufika.
 
Panda daladala za makumbusho au mawasiliano halafu chukua daladala za Kunduchi, shukia kituo cha mtongani kona au visiwa, kanisa lipo katikati ya hivyo vituo viwili.

Angalizo : daladala za Kunduchi zipo chache mawasiliano ukilinganisha na makumbusho
 
Wakuu habari za muda huu,

Natokea Tabata nataka kufika Kunduchi Beach KKKT.

Msaada wa kuelekezwa ili niweze kufika.

Panda gari za tabata ubungo Mawasiliano, ,, ukifika ubungo Mawasiliano panda gari za kwenda KUNDUCHI pwani, , usipande za ununio ,, then utawaomba wakushushe kanisani karibu na shule ya mtakuja pale,,,, kitambo nilikuwa nakaa kule aisee,,,, enzi za Mkuu wa kambi kanali mtonga
 
Panda daladala za makumbusho au mawasiliano halafu chukua daladala za Kunduchi, shukia kituo cha mtongani kona au visiwa, kanisa lipo katikati ya hivyo vituo viwili.

Angalizo : daladala za Kunduchi zipo chache mawasiliano ukilinganisha na makumbusho
Akishuka kituo cha kona unaendaita hamsini tuu upande wa mashariki(kama unaenda baharini) ataliona kanisa upande wa kulia.
 
Back
Top Bottom