- Bila shaka kadi zote mbili hazijawezeshwa kufanya miamala mtandaoni.Ni kwamba kwa njia ya NMB au CRDB benk nikiclick kulipia inaniletea sehem imeandika card number sasa nikiweka card namba ya NMB au CRDB inaandika invalid card number na pia nikiweka account number inaandika unsupported form.
Sasa msaada kwa mtu yeyote mwenye utaalam jinsi yakufanya online transaction kwa hizi benk zetu za Tanzania hususani NMB na CRDB nifanyeje ili niweze kulipia
asant San mkuu- Bila shaka kadi zote mbili hazijawezeshwa kufanya miamala mtandaoni.
Nini cha kufanya
a] Kwakuwa ni malipo ya mara moja, Tumia vodacom mastercard ( virtual )
- Jinsi ya kupata card yako angalia hii video.
URL: M-Pesa MASTERCARD
- Baada ya kupokea taarifa za card yako, itumie hiyo kufanya malipo ya hiyo APP. cc: Vodacom Tanzania
b] Fika benki husika, watakupa fomu na kujaza, ndipo watawezesha kadi yako iweze kufanya manunuzi mtandaoni.
ok asant inachukua mda gan mpaka kuwa activatedNenda kwenye tawi la benki husika,kuna form watakupa ujae,then kadi itakuwa imeruhusiwa katika kufanya miamala ya mtandaoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah akilu Ku mkichwaNAAANDIKA KWA ELUFI KUBWA ILO NIELEWEKE
MLETA UZI AMETUMIA AKILI KUBWA SANA SANA SANA YAAANI ANA ID MBILI
MOJA ANAJARIBU KUFUNGULIA UZI NYINGINE ANAELEZA JINSI YA KUTUMA PESA
HAPO KUNA ARUFU YA WATU KUIBIWA MUDA SIO MREFU
NOTE : HAO JAMAA NO MATAPERI
Ndugu pole sana.NAAANDIKA KWA ELUFI KUBWA ILO NIELEWEKE
MLETA UZI AMETUMIA AKILI KUBWA SANA SANA SANA YAAANI ANA ID MBILI
MOJA ANAJARIBU KUFUNGULIA UZI NYINGINE ANAELEZA JINSI YA KUTUMA PESA
HAPO KUNA ARUFU YA WATU KUIBIWA MUDA SIO MREFU
NOTE : HAO JAMAA NO MATAPERI
kaka kwenye online transaction kupitia card ya CRDB benk kuna sehem ya kujaza nafasi kama vileNdugu pole sana.
Tumia muda kujifunza zaidi hapa JF, jinsi watu ambavyo huwa wanasaidiana.
U_mgeni na bado wajifanya mjuaji zaidi.
>> Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
>> Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy) - JamiiForums
>> Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue! - JamiiForums
Pitia japo hizo thread tatu ili ufunguke kidogo kimawazo na uwe na mtazamo chanya.
Karibu
Expiry date: Mwezi(MM) / Mwaka YY - Mfano 03/20 ; Ikiw na maana kadi inaisha muda wake wa matumizi mwezi wa Tatu mwaka 2020MM/YY
Hii ni namba inayopatikana nyuma ya kadi yako - Ni tarakimu tatu, ziko mwishoni kwenye utepe ulipo nyuma ya kadi angalia utaziona hizo namba.
Postcode Listpost code
Ni kama anwani yako. Kwa TZ tunatumia P.O boxsuite
Fuatisha huo muongoz hapo juu.sasa sijajua jinsi ya ujazaji wa izi nafasi kama unajua maana yake plz nisaidie
Asant San kiongoz nashukuruExpiry date: Mwezi(MM) / Mwaka YY - Mfano 03/20 ; Ikiw na maana kadi inaisha muda wake wa matumizi mwezi wa Tatu mwaka 2020
- Hizi taarifa huwa sehemu ya mbele ya kadi yako.
Hii ni namba inayopatikana nyuma ya kadi yako - Ni tarakimu tatu, ziko mwishoni kwenye utepe ulipo nyuma ya kadi angalia utaziona hizo namba.
Postcode List
Fungua huo ukurasa wa TCRA, Chagua mkoa wako, Download pdf husika, Kisha search jina la wilaya yako na utaona ZIP CODE / POST CODE sahihi unayopaswa kutumia.
Ni kama anwani yako. Kwa TZ tunatumia P.O box
Fuatisha huo muongoz hapo juu.
KARIBU